Nyoka huyo mkuuSasa hivi kuna harufu za viazi vitamu vya kuchoma sijui nayo ni nini? Nipo porini sana sema kuna tambarare pana na baadhi ya mito nasubiri nijue ni kitu gani hiki hii harufu inakolea mno majira ya saa mbili usiku
Kwa baadhi ya lugha za makabila unaitwa 'njima' au 'mzima'.Kuna miti inatoa maua ambayo yanatoa hiyo harufu.
Naifahamu kabisa.
Hata mimi niliambiwaga hii kitu...Sisi tuliambiwa na watoto wenzetu kwamba ukisikia harufu ya wali ujue ni majini.
MkHabari za jumapili wana JF.
Bila kupoteza muda wadau naomba kuuliza, Je ile harufu ya wali (wali nazi) ambayo tunaisikia tukiwa porini au msituni tena sehemu ambayo haina makazi ya watu inatokana na nini?
Cc. mshana jr
Mkuu Ni harufu ya joka kuu hiyoHabari za jumapili wana JF.
Bila kupoteza muda wadau naomba kuuliza, Je ile harufu ya wali (wali nazi) ambayo tunaisikia tukiwa porini au msituni tena sehemu ambayo haina makazi ya watu inatokana na nini?
Cc. mshana jr
Cc adrizMkuu ukiwa porini ukanusa harufu ya ubwabwa tena ule unanukia kama Thai Jasmine ama Basmati timua mbio hapo kuna bonge la joka. Siyo uwongo hii ni kweli ila nadhan ni kuhusu nyoka alivyoumbwa kibailojia
Ulikimbia?!Na je, umeshanusa iyo harufu? Mimi nilishawahi mara nyingi