Salamu zenu wana JF,
Karibu tena leo tuongelee harufu inayoweza kumvutia mwanamke au jinsia tofauti kimapenzi.
Tofauti ya maneno matamu na kuwa na body zuri kitu kikubwa kinachoweza kumvutia mwanamke na kutaka kuwa na wewe ni harufu.
Wanasayansi na wanasaikolojia wamefanya utafiti na kugundua harufu ya pheromone hutumika sana kuvuta jinsi tofauti.
Watengenezaji wa perfumes wamekuwa na ujanja huo wa kuchanganya na pheromones ndani ya perfume.
Hii harufu hutumiwa na wanyama kwa ajiri ya kuvutia mwenzake kimapemzi.
Ukipata perfume iliyo na hii harufu hakika inaweza kukusaidia sana. Si tu katika kuvutia kimapenzi hata katika mikutano kama unataka upate attention kubwa piga perfume hii.
Hii ni issue ya kisaikolojia na sayansi siyo uchawi. Maana harufu hiyo inapenya kwenye cells za mwili na kufanya akili iweze ku react.
Kama unataka kupata mwanamke kirahisi tumia hii perfume yenye pheromones utakuja kuniambia.
Hata wanawake pia wanaweza kufanya vivyo hivyo.
Nawasilisha hoja mezani.