Jaman msaada ...nimezamisha kaz ya crdb hapa bugurun...pesa haikutoka ...sina hata mia mfukuna ndinga mafuta haina imezima relin....nifanyeje ...
Kazi= kadi?
Umezamisha ATM/ wapi?
Kama ATM card kesho asubuhi wahi uichukue....pole unaonakana umepanic sana