Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Ni kawaida, google kitu kinaitwa pheromones.
Harufu ya kiume ndo ikoje tena hiyo?
Nmekwishaje?
Halafu ushawahi kumwona beberu akinusa K ya mbuzi jike?
Huwa wananusa halafu wananyanyua pua na mdomo ili kuisikilizia vizuri harufu:lol:.
Dizaini K ya mbuzi jike nayo ina harufu flani hivi ya kimzuka mzuka:lol:.
Beberu watundu sana aisee.
Una miaka mingapi nataka kukusaidia najua dawa yake nipigie hilo ni tatizo sihitaji malipo wala kunifuata nitakuelekeza tu nini ufanye
Pale huwa anapima kama ameshakuea tayari kwa kushika mimba mana huwa hawapandani bila sababu za kiuzazi kazi zao ni kwa ongezeko la mbuzi na si starehe tu.
Hahaaa.... Chapa ng'ombe utamjua tu!. Beberu wanajua kupima bana!.:lol:Halafu ushawahi kumwona beberu akinusa K ya mbuzi jike?
Huwa wananusa halafu wananyanyua pua na mdomo ili kuisikilizia vizuri harufu:lol:.
Dizaini K ya mbuzi jike nayo ina harufu flani hivi ya kimzuka mzuka:lol:.
Beberu watundu sana aisee.