Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
Anyways
.......Good!
Anyways
Kwa hiyo kuna ya kiume kumbe?
I'm glad I don't know about it.
I can't describe it kwa undani zaidi, ila ndiyo ivo sasa
Naam lipo jasho la kiume ambalo baadhi ya warembo wakilisikia wanalainika kabisa. Kama una muda google utaona.
....natural smell kama ya beberu haina mchanganyiko na perfume lol! Umeusaha ule uzi wa watu ambao hawaogi ili harufu za wenzao wake kwa waume ziwaongezee excitement?
Kwa hiyo kuna ya kiume kumbe?
I'm glad I don't know about it.
Ila bhana beberu wa kufungwa Ana harufu,unaweza kusikia harufu yake kuanzia km 1,inasemekana ile harufu ndo inafanya azimikiwe na mbuzi jike,.....ila harufu ya mbuzi dume aliyekoma inatisha haina haja ya kuambiwa hapa kuna mbuzi,yaani harufu yake lazima ikuboe
Halafu ushawahi kumwona beberu akinusa K ya mbuzi jike?
Huwa wananusa halafu wananyanyua pua na mdomo ili kuisikilizia vizuri harufu:lol:.
Dizaini K ya mbuzi jike nayo ina harufu flani hivi ya kimzuka mzuka:lol:.
Beberu watundu sana aisee.
Naam lipo jasho la kiume ambalo baadhi ya warembo likiwapitia kwenye pua zao wanalainika kabisa. Kama una muda google utaona.
Halafu ushawahi kumwona beberu akinusa K ya mbuzi jike?
Huwa wananusa halafu wananyanyua pua na mdomo ili kuisikilizia vizuri harufu:lol:.
Dizaini K ya mbuzi jike nayo ina harufu flani hivi ya kimzuka mzuka:lol:.
Beberu watundu sana aisee.
Nimefuga Sana wanyama Kama mbuzi,ng'ombe,kondoo na kitimoto.
Beberu anaweza akanusa k ya jike akapuuzia,ila wapo beberu wana harufu sijui Kama ushakutana nao,beberu moja anachafua hewa na harufu lake
Oh halafu...hivi beberu lenye harufu kali ndo huwa linamega sana mbuzi totoz eeh?
Mwenzenu nna tatizo, yaniii harufu ya kiume inanifanya nalowa chu-pi kabisa, haswaa nikisalimiana na mwanamme kwa njia ya kukumbatiana, ile harufu ikibaki kwangu nashindwa kabisa kujizuia, najikuta nmelowa kabisa.
Kwa ambaye anajua ufumbuzi wa hili tatizo naomba anisaidie maana imekua too much sasa!
Hapa nlipo nmekosa usingizi kwa sababu hiyo...
Kama wiki mbili zilizopita ivi
:what: