Harufu ya kiume inanitia hamu

Harufu ya kiume inanitia hamu

memeapa

Senior Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
151
Reaction score
58
Mwenzenu nna tatizo, yani harufu ya kiume inanifanya nalowa chu-pi kabisa, haswa nikisalimiana na mwanamme kwa njia ya kukumbatiana.

Ile harufu ikibaki kwangu nashindwa kabisa kujizuia, najikuta nimelowa kabisa. Kwa ambaye anajua ufumbuzi wa hili tatizo naomba anisaidie maana imekua too much sasa.

Hapa nilipo nimekosa usingizi kwa sababu hiyo.
 
.....aisee unahitaji maombi ya haraka sana, ukishindwa kuicontrol umekwisha...
 
wanyakyusa haapa wangesema #imbombo ngafu yaani kazi ipo, nilikua na rafiki wa kike ashawahi ku confess kwangu kuwa nikimgusa tu maskini ya mungu analowa pichuni majimaji kibao, mi kusikia hivo nikaanza fanya mpango wa kumtafuta kabisaaa. Baada ya muda aliweza ku overcome ila hakusema kwa namna gani nilidhani uongo enzi zile, sasa kusikia na wewe ndio nimeamini kuwa kumbe ipo.
 
....natural smell kama ya beberu haina mchanganyiko na perfume lol! Umeusaha ule uzi wa watu ambao hawaogi ili harufu za wenzao wake kwa waume ziwaongezee excitement?

Kwa hiyo kuna ya kiume kumbe?

I'm glad I don't know about it.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom