harufu ya kinyesi na ushoga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

harufu ya kinyesi na ushoga

Discussion in 'JF Doctor' started by Raia Fulani, Nov 25, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,227
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  leo asubuhi nimesikia toka redioni uchambuzi wa magazeti na kusikia habari moja ya ajabu kiasi. Nadhani inatoka amerika ya kusini. Bahati mbaya sikusikia ni gazeti gani. Kwamba wanaume wanakuwa mashoga kutokana na maji ya kinyesi yanayopita maeneo wanakoishi! Hii imekaaje? Tunaomba mwenye hiyo habari atuwekee humu ili matabibu watudadavulie
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,759
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Mwenyewe nilisikia ila siyo maji yenye vinyesi,nilisikia kama maji yenye madini sijui ni madini gani,wanapoyatumia yale maji homones hubadilika na ujinsia!ni kitu kama hicho.
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,227
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  yawezekana. Nikataka kushangaa inakuwaje hapa. MODS nisaidieni kuweka taito vizuri
   
 4. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,595
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Kasheshe....itabidi nasi tutafiti kwa wanaume wanaofanya kazi kweny magari ya kunyonya kinyesi, inawezekana wengi wao mashoga?!
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,227
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  dk bwana. Inabidi utafiti ufanyike kweli
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,455
  Likes Received: 9,837
  Trophy Points: 280
  kweli mapepo wana mbinu nyingi za kuwavaa binadamu
   
Loading...