Harufu mbaya kutokea koo la hewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harufu mbaya kutokea koo la hewa

Discussion in 'JF Doctor' started by giraffe, Sep 7, 2012.

 1. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Jamani yapata miezi 8 sasa kuna halufu mbaya nahisi ni makasi yameozeana kwenye njia ya hewa,Nakumbuka jinsi tatizo lilivyoanza,nilipata mafua nikameza codril kidonge 1 tu mafua yakawa kama yamekauka sikuendelea na dawa tena.Baada ya wk kama 1 particles za mafua yenye halufu zinatoka.Hostpal walinipatia amoxil but hazikusaidia.NAOMBEN4 MNISAIDIE
   
 2. health

  health JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 327
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Pole sana giraffe. kuna product iliyoandaliwa kiasilia ambayo haina madhara twaweza kuwasiliana kwenye email halafu nikaweza kukusaidia ili uweze kuepukana na tatizo. healthwealthfirst@gmail.com
   
Loading...