Harufu mbaya kikwapa: Wanaume wako pia.....

Hivi hizo harufu unazisikiaga wewe tu?Mie mbona nakuvumilia sana harufu yako ya mdomo na miguu honey wangu wala sikutangazi kwa watu loh.
 
HARUFU YA KIKWAPA YAWEZA SABABISHWA NA MAMBO MENGI
mFANO....
MATATIZO YA TUMBO,
ULAJI MBOVU,
UCHAFU WA MWILI n.k

La msingi ni kumtafuta DK.kwa ajili ya msaada zaidi.

Mfano kuna jamaa yangu alikuwa na tatizi hili kwa muda mrefu ,baada ya kumeza dawa za minyoo na safura tatizo liliisha

.Take note..
 
kama msemaji wa awali alivotangulia kusema kuna vikwapa aina 2, ....1.cha asili na 2.cha uchafu kwakile cha uchafu ni kweli kuna haja ya kuwasema hawa watu ili walau wakiweza wajirekebishe ila kwa wale ambao ambao na wa asili mi kimtazamo wangu naona ni kama kukisema kilema cha mtu ni najisikia huruma na aibu kukisemea vile najua sio kwa mapenzi yake bali ndo jinsi alivozaliwa, na kwa mnavojua vipodozi na marashi ya kutibu tatizo kama hili ni ghali mno kwa vile ukitibu na vipodozi vya kichina ndo tatizo linakuwa kubwa balaa.
 
Mmh, haya

Huwezi jua kama forest inaongeza kikwapa sababu kila mtu kazoea kikwapa chake

Ila ukweli ndio huo, msitu ni sumaku ya kikwapa

NB: Mie bado mdogo sijaanza mambo ya kuota v.z.

Du! haya bana, sasa huo msitu uliujuulia wapi? au unauona kwa nani? Ina maana hujaanza huota v.z na mambo mengine tayali unayaweza? Hahahahaha wacha wewe!
 
kama msemaji wa awali alivotangulia kusema kuna vikwapa aina 2, ....1.cha asili na 2.cha uchafu kwakile cha uchafu ni kweli kuna haja ya kuwasema hawa watu ili walau wakiweza wajirekebishe ila kwa wale ambao ambao na wa asili mi kimtazamo wangu naona ni kama kukisema kilema cha mtu ni najisikia huruma na aibu kukisemea vile najua sio kwa mapenzi yake bali ndo jinsi alivozaliwa, na kwa mnavojua vipodozi na marashi ya kutibu tatizo kama hili ni ghali mno kwa vile ukitibu na vipodozi vya kichina ndo tatizo linakuwa kubwa balaa.

Sio lazima mtu utumie vipodozi ila, kwani ugali kwao hawapiki? Iwapo wanapika ugali, mimajimaji ya ukoko wa asubuhi mtu ukiiweka na ukakaa dakika 5 ndo ugoge inatibu kabisa. Mwingine kasema ukiogea ndimu pia zinasaidia. Bei ya ndimu na ukoko ni kama bure tu!
 
Ila kwa kweli
Kuna wanawake sijui nisemeje hata
Wanawaachia waume zao kama mashamba ya katani, bila uangalizi wowote

Mwanamme anarudia shati na vesti ya ndani siku 2
Boksa na soksi nazo anarudia

Anamwacha tu msitu wa kongo unamea kama amazon foresti, kweli?? Afu unalalaje naye?

Binadamu hata kama una kwapa la asili, kuna jinsi ya kulipunguza
Kwanza hakikisha misitu yote imefyekwa kabisa
Afu jaribu body spray au body mist au zote kwa pamoja
Oga asubuhi na jioni

Mbona harufu inapungua kabisa?

Sasa ndipo nimepata sababu ya kwanini wanaume wanaSISITIZA 'usafi' wa mke mtarajiwa pindi wawekapo mabango ya kutafuta wachumba; kumbe wao ni WACHAFU na USAFI wao hutegemea MWANAMKE.

Halafu sijawahi kuona mwanamke akisisitiza USAFI kwa mwanaume.
 
Hivi hizo harufu unazisikiaga wewe tu?Mie mbona nakuvumilia sana harufu yako ya mdomo na miguu honey wangu wala sikutangazi kwa watu loh.

Hahahahaha! We umenivunja mbavu kabisa! Nashukuru kunivumilia mine! Za wengine zinanikera kwa vile zangu huwa sizisikii.
 
Sasa ndipo nimepata sababu ya kwanini wanaume wanaSISITIZA 'usafi' wa mke mtarajiwa pindi wawekapo mabango ya kutafuta wachumba; kumbe wao ni WACHAFU na USAFI wao hutegemea MWANAMKE.

Halafu sijawahi kuona mwanamke akisisitiza USAFI kwa mwanaume.

Mi sikubaliani na hilo, ila naamini mi ni msafi kinoma! Shati zangu safi kabisa, sox, nguo za VIP nk usiseme, safi kupita maelezo, home japo ni kwa kawaida ila sipendi kuona dalili ya mchanga (it also helps coz nina aleji ya vumbi sana). Ni lazima kupata mtu ninaeendana nae kwa usafi...
Kwa wale wanaotegemea mwanamke, haa si akitoka kuogo kila kitu anatupa kitandani? Utakuta kitandani kuna sox, nguo za VIP, taulo wakati mwingine anatupia hata sabuni ya kuogea badala ya kuiacha bafuni! Loh!
 
Teh teh teh Woyelelee harufu bwana ni yako tu ya mwenzio ni kero jamani loh.nakumbuka zamani kaka zangu wakirudi kuchunga ngombee wananuka majasho acha kabisaaa.Ila sasa walivyo masharobaro loh huwezi hata kuwakumbushia.
 
Back
Top Bottom