Ukimtongoza mwenye mawigi au aliyejikoboa maana yake umependa kila kitu chake. Tafuta dem natural hair, natural skin..hutapata hizo kero. Simple kihivyo mkuu.Si Mawigi tu! Ni nani aliyewaambia kuwa tunapendaga ngozi zilizochubuliwa?
huwezi amini hapa ujumbe hufika kwa watu wengi sana. unajua ni ngumu sana kumchana mtu live issue kama hyo.Mngekua mnasemanao haya mnayoyaongea hapa nadhani ingekua vzuri...maana yanayosimuliwa hapa mnakutana nayo...hiyo kadhia ingeisha
Haaa lols
Duuh hatari sana aisee ..sasa na hizi mvua wigi la kushonea likiloa inakuwaje..
Ila hata msemeje maadamu yapo na bado yanauzwa dukani yataendelea kuvaliwa.
Muhimu kaa na mtu wako muelekeze tu kwamba wigi no au kabla hujaja kwangu kaoshe nywele zako..
Kuhusu k mbona kuna wanaume wananuka tastes/pumbu ..hivi na nyinyi huwa hamjisikii au? Kazi kusema wanawake tu
Nadhani sisi wa Mikoani hayaatuhusu.
Kuna demu mmoja nilichapa ile nachomoa mashine ili nitemee nje ile harufu kwanza ilinipandisha mshawasha ila baada ya kutema tu nilijihisi kutapika
hahahahaaaaaaaaaa.........humu jf huwa kuna watu wa ajabu sana aisee.Yaani hapa muendelee tu kusema chips za wanaume wa Dar zinazingua,hivyo vitu hapo juu havivumiliki hata kidume uwe na ugwadu wa miaka 100 lazima tu utakoroma baada ya kimoja au kama washikaji zangu mie wataleta excuse ameitwa mahali.
Wigi liko kichwani week ya 4 so kicha hakijapitishwa maji mwezi mmoja sasa,umepiga mkorogo ngozi inanuka kemikali plus unachambia tissue unajiita mzungu maji hayapitishwi ipasavyo kwenye nanilihii ,kuhongwa(mizinga) results hapa ni POOR PERFORMANCE kwa mwanaume divide by U GOGO na JOTO LA DAR mkereko huu hauvumiliki
Asanteni
Hahahahahh yaan kama una stress zako jf ni mwisho wa matatizo aiseehahahahaaaaaaaaaa.........humu jf huwa kuna watu wa ajabu sana aisee.
Nina ugwadu wa miaka 5 yaani nikimpata tu yeyote wala hayo siangalii😉