Harufu kali ya wigi, mkorogo na papuchi = underperformance

Harufu kali ya wigi, mkorogo na papuchi = underperformance

Ivi aya makatani wanayapendea nini si msuke rasta kama naziz wa kenya, au nyoeni ka nakaya au chaneni afro kama mama tibaijuka ayo manywele ya wafu ya nin kichwani
 
Sasa wewe kama hupendi mawigi na mikorogo una mfata wa nini mwanamke wa hivyo? Manaturalista wapo kibao. Na kama ni mpenzi wako mwambie dada kaoshe nywele na hiyo K.
Katika ubora wako.
 
Yaani hapa muendelee tu kusema chips za wanaume wa Dar zinazingua,hivyo vitu hapo juu havivumiliki hata kidume uwe na ugwadu wa miaka 100 lazima tu utakoroma baada ya kimoja au kama washikaji zangu mie wataleta excuse ameitwa mahali.

Wigi liko kichwani week ya 4 so kicha hakijapitishwa maji mwezi mmoja sasa,umepiga mkorogo ngozi inanuka kemikali plus unachambia tissue unajiita mzungu maji hayapitishwi ipasavyo kwenye nanilihii ,kuhongwa(mizinga) results hapa ni POOR PERFORMANCE kwa mwanaume divide by U GOGO na JOTO LA DAR mkereko huu hauvumiliki

Asanteni
Mwekunduuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
kila mtu ni bora, kwenye ubora wake.
 
Yaamni mawigi nayachukia popote ulipo mpenzi wangu wa zamani sauda nywele za kuchana afrooo Fulani amazing mwaaaa
 
Demu kajichubua kila siku anahangaika na uso miguu kama paka wa tandale huko chini ndo balaa kumeoza mpaka unamkimbia nyege zote zinakata
 
Unakula tu hata kama anasmell uvundo, we hujaona watu wanajipigia machizi kitaan fresh kbsa, otherwise una tatizo la erectile dysfunctioning
 
Hayajanikuta ayoo.but heading tuuh..full kicheko.
 
Back
Top Bottom