Wakati tunapigania uhuru wetu, hao kina Belafonte kwao kila kona vibao "For whites only". Hata kwenye mabasi walirundikwa nyuma kama mifugo, wangetusaidia vipi wakati wao wenyewe wakipigania haki zao huko kwao!Tanzania tumetafuta uhuru na ukombozi wa nusu ya Afrika, kivita na kidiplomasia, singlehandedly, hakuna mwanamuziki na mcheza filamu aliyetusaidia.
Wafundisheni historia hawa vijana wasiojua tupo hapa tukitokea wapi.