roxna
Member
- Jul 24, 2012
- 66
- 64
Kiukweli uwa nashindwa kuelewa kwenye utangazaji habari huwa wanaelekezwa wapresent hivi au lah!!kidogo sina ujuzi huko ndugu zangu mtanisaidia.
Mara nyingi uwa akipresent habari anapenda kutoa maoni yake mwishoni.......mfano:habari ilikua ikizungumzia kuhusu wateja wa bodaboda kutopenda kuvaa helmet.....alafu mmoja wa madereva bodaboda akaulizwa kwanini huwa wateja hawavai??jibu lake likawa wateja hawapendi kwasababu wanahofia watapata maradhi kutokana na helmet kuvaliwa na watu tofautitofauti......kama kawaida harris akatoa conclusion yake kuwa kila mteja anunue helmet yake awe anatembea nayona aivae akipanda bodaboda
.
Eeewh!!!nikabaki nashangaa hivi inatakiwa kwelii hii!!!??na uongozi wa clouds haulioni??au kila mtu ni lazima aweke mikogo yake akihisi ananogesha kumbe analeta ucomedy
kiukweli akileta conclusion zake hizi uwa nakosa hamu ya kucheki tena habari za clouds tv......Ebu tupeane ABC kwenye uhabalishaji ndo inatakiwa hivi kweli??