Harrier vs forester subaru

Harrier vs forester subaru

Nina miliki Subaru Forester manual transmission tangu mwaka 2010 hadi sasa.Hizi gari ni imara sana haziharibiki hovyo hovyo ila ikiharibika jiandae spear zake ziko juu sana mfano shock up yake moja ni Tsh.250,000.Na kwa sababu ni AWD mafuta inakula zaidi ya non AWD.Hazikwami kwenye michanga,tope nk.Zinakimbia sana pia.Harrier sijawahi kuitumia.Spare za Subaru haziingiliani na Toyota!Hata Rim lazima utafute ya Subaru!

Harrier nyingi ni front wheel .. haikai kwenye mchanga wala tope
 
Harrier nyingi ni front wheel .. haikai kwenye mchanga wala tope

Front wheel haitakuwa sawa na 4WD au AWD especially kwenye nguvu. Advantage ya Front wheel drive inaweza kuwa economy tu. AWD inasupply power kwenye tairi zote na ndio maana gari zikiwa na cc2000 zote ya AWD itakula mafuta zaidi kidogo kuliko FWD
 
Subaru inafaa zaidi harrier ungefananisha na mazda cx7
 
Umewahi kuona mtu mwenye pesa zake ananunua Subaru!? Tuanzie hapo kwanza.

Wenye Subaru na Alteza wengi ni hawa hawa vijana wamepata vihela vya spea za Harrier (new model) na Rav 4 (new model) kama milion 8 hivi ndio wanaagiza Subaru.

Yani nimeshangaa kuona muanzisha uzi anafananisha gari ambazo bei zao moja ni mara karibu tano ya nyingine halafu anataka wachangiaji tumpe maoni yetu! Hatupo serious jamani
Subura ya mwaka 2008 na kuendelea ni gari hasa. Usiivunjie heshima Subaru mkuu. Ni gari classic sana na ya mwaka 2009 ni kubwa sawa na Harrier au Prado toleo jipya. Inatumia push button ya kuwasha Engine. Ni gari nzuri kutoka kwa kampuni kubwa ya Fuji Heavy Industry. Hao Toyota kwanza ni too common. Subaru ni heshima.
Niliwahi kuongea na jamaa mmoja dereva wa gari la mh mmoja akaniambia aliwahi kukanyaga VX-V8 hadi akaona iko speed 220 ndo kidogo akaisumbua Subaru,anakiri ni gari haswaaaa.
 
Mimi pia nimeendesha Harrier ya 2006 cc 2490. Kuhusu mafuta inakunywa na kuhusu comforability inategemea upo kwenye mwendo gani. Ikiwa unaendesha speed za 100km/h + utaanza kuona kama inaelea hivi barabarani na inakuwa laini hali ambayo inakupa hamasa ya kukanyaga mafuta tu. Yani inakuwa kama ndege ya ardhini.

Ingawa niliuza Harrier yangu na sasa napush Rav4 ya 2008. Hata hivyo ninapendekeza mtu kama ana uwezo nalo Harrier new model ni gari zuri sana.
Kuna harrier sampuli tatu old model miaka ya nyuma mpaka 1999,then kati 2000 , 2002 mpaka 2009 baadaye hizi new model 2010 to date sasa mnaongelea new model ya namna ipi kama latest version msilinganishe vtu vya maana na vitu vya kijinga maana harrier new model cc 1980 ni mashine nyingine low consuption harafu full confortability na ni full umeme.....bei inaanxia mil50 nakuendele hapo ni used.
 
Harrier inakaribia kupitwa na wakata
Ni bora hio hella ununulie bmw mseries ya mil27 kuliko harrier
Au hizi forester mpya zilizo kama ford
Au nunua subaru achback
 
5aff11ea855cf61f9cd6159fe2ebd645.jpg
Hichi kitu ukinunua unamuachia mjukuu
 
Kuna harrier sampuli tatu old model miaka ya nyuma mpaka 1999,then kati 2000 , 2002 mpaka 2009 baadaye hizi new model 2010 to date sasa mnaongelea new model ya namna ipi kama latest version msilinganishe vtu vya maana na vitu vya kijinga maana harrier new model cc 1980 ni mashine nyingine low consuption harafu full confortability na ni full umeme.....bei inaanxia mil50 nakuendele hapo ni used.
Around 90 million kwa toleo la 2014 but used from japan
 
Jiongeze kidogo ununue Kluger ndilo gari naweza kuliwazia zaidi ya hayo. Kluger ni zaidi katika kila kitu. unaweza kudrive at 180kmph na ukawa confortable
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom