Harold Sungusia achaguliwa kuwa Rais wa TLS

Harold Sungusia achaguliwa kuwa Rais wa TLS

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha wanasheria Tanganyika TLS Wakili Charles Rwechungura amemtangaza Harold Sungusia kuwa rais mpya wa Chama hicho baada ya matokeo ya uchaguzi, Huku nafasi ya Makamu wa rais ikichukuliwa na Aisha Sinda.

Kura zilizopigwa = 825
Kura zilizoharibika = Hakuna

Harold Sungusia kura=748
Reginald Shirima kura=77

NAFASI YA MAKAMU WA RAIS TLS
Aisha Sinda kura=527
Emmanuel Augostino kura=261
Revocatus Kuuli kura=32
View attachment 2619364
Wapiga kura wachache ajabu!!!Rais wa chama cha wanasheria anachaguliwa na wapiga kura chini ya asilimia 08%, mawakili elfu 12. Kupiga kura mtu inabidi asafiri hadi kilometa 1000 safari isiyopungua siku 3!
 
Jamaa kafanana na baba yake hasa,
Hichi kizazi Cha kuanzia miaka ya 90 sijuh kwanini watoto wanakuwa wanapoteana na baba zao
 
Back
Top Bottom