Felix King Zaman
Senior Member
- Aug 6, 2016
- 125
- 117
Habari zinazonifikia kitaa kutoka town zinasema kuwa Harmorappa underground ambaye amehit kwa kasi amepata shavu . Leo asbuhi alionekana Nairobi na inasemekana yupo kule kufatlia dili ya kuwa ambassador wa Safaricom nchini Tanzania. Mbali na haya yupo na mpango WA kukutana na Sauti Sol kwa ajili ya collabo.
