HARMORAPPA AIBUKA UPYA NA TOTOZ FULL MAPENZ

Kwani kaimba wimbo gani mpaka sasa jamani maana naskia ni rapa tu ila wimbo wake sijawahi kuusikia
Hajatoa hata singo moja, na tayari ameshaitwa msanii. Alichojaaliwa ni sura yake kufanana na Harmonize. Ni kwamba magazeti ya udaku yameishiwa stori, kwa kumtumia huyu jamaa wanatengeneza stori za kuandika magazetini
 
Hahahaaaa hii ndo Bongo jamaa anavuma utadhani msanii kweli
 
Hajatoa hata singo moja, na tayari ameshaitwa msanii. Alichojaaliwa ni sura yake kufanana na Harmonize. Ni kwamba magazeti ya udaku yameishiwa stori, kwa kumtumia huyu jamaa wanatengeneza stori za kuandika magazetini
ananyimbo na kideo kikali tu seach youtube
alaf mbona inapigwa kwenye media kibao tu
 
Hajatoa hata singo moja, na tayari ameshaitwa msanii. Alichojaaliwa ni sura yake kufanana na Harmonize. Ni kwamba magazeti ya udaku yameishiwa stori, kwa kumtumia huyu jamaa wanatengeneza stori za kuandika magazetini
Ana wimbo wake unaitwa 'usigawe pasi' ingia you tube andika hamorapa usigawe pasi utauona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…