bahati30 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,625 Reaction score 883 Feb 4, 2017 #81 Pr cure said: subiri wenye macho waje waone, aliyepiga picha Mungu anamuona kwa kweli Click to expand... Kau..ja
Pr cure said: subiri wenye macho waje waone, aliyepiga picha Mungu anamuona kwa kweli Click to expand... Kau..ja
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,298 Reaction score 38,438 Feb 4, 2017 #82 Nani yuko nyuma ya huyu kijana, kwa faida gani?.....Muda utaongea.
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,569 Feb 4, 2017 #83 amamus said: huyu jamaa anaforce king mwisho wasiku utakuta watu wanamkubali tu hahahaha maana jamaa kajitoa ufahamu kwelikweli Click to expand... hahahaha
amamus said: huyu jamaa anaforce king mwisho wasiku utakuta watu wanamkubali tu hahahaha maana jamaa kajitoa ufahamu kwelikweli Click to expand... hahahaha
Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,550 Reaction score 1,852 Feb 4, 2017 #84 Hahahahaha hii nchi bwana unaweza kufanua jambo dogo tu na la kijinga ukawa maarufu... harmo katumia sura yake ya kufanana na harmonize vizuri uyu dada nae akaona isiwe tabu akamtumia harmorapa vizuri
Hahahahaha hii nchi bwana unaweza kufanua jambo dogo tu na la kijinga ukawa maarufu... harmo katumia sura yake ya kufanana na harmonize vizuri uyu dada nae akaona isiwe tabu akamtumia harmorapa vizuri
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,569 Feb 4, 2017 #85 screpa said: Hiyo picha ya mwisho kama Diamond na Zari, mwaka huu wa Harmo Rapa hakuna wa kuzuia mvua Click to expand... hahahahaha
screpa said: Hiyo picha ya mwisho kama Diamond na Zari, mwaka huu wa Harmo Rapa hakuna wa kuzuia mvua Click to expand... hahahahaha
Iphone 8 plus Senior Member Joined Jan 20, 2017 Posts 134 Reaction score 136 Feb 4, 2017 #86 Hapo sipo kwake,...Anashika shika tu chupa za mafuta jikoni huku anashaanga shangaa tu, kama vile ndio first time kuingia kwa nyumba hiyo
Hapo sipo kwake,...Anashika shika tu chupa za mafuta jikoni huku anashaanga shangaa tu, kama vile ndio first time kuingia kwa nyumba hiyo
fahad Athuman Member Joined Feb 3, 2017 Posts 45 Reaction score 36 Feb 4, 2017 #87 Ashakua na skendo sasa
fahad Athuman Member Joined Feb 3, 2017 Posts 45 Reaction score 36 Feb 4, 2017 #88 Ashakua na skendo sasa
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,518 Reaction score 13,178 Feb 4, 2017 #89 ngonza said: Basi yuko vizuri. Kafunika wasanii wa Siku nyingi. Maana kuna mmoja alisema hawezi ajiriwa ana masters lakini anaishi Ubungo Msewe. Click to expand... Ohoooo!!! Ndumilakuwili
ngonza said: Basi yuko vizuri. Kafunika wasanii wa Siku nyingi. Maana kuna mmoja alisema hawezi ajiriwa ana masters lakini anaishi Ubungo Msewe. Click to expand... Ohoooo!!! Ndumilakuwili
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,518 Reaction score 13,178 Feb 4, 2017 #90 feitty said: Duh!kweli usupastaa zigo la mwiba. Hatupumui kwa habari zake. Click to expand... Ndumilakuwili
feitty said: Duh!kweli usupastaa zigo la mwiba. Hatupumui kwa habari zake. Click to expand... Ndumilakuwili
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,107 Reaction score 122,495 Feb 4, 2017 #91 idawa said: Nani yuko nyuma ya huyu kijana, kwa faida gani?.....Muda utaongea. Click to expand... Kabisa mkuu mana sio kwa promo hizi.
idawa said: Nani yuko nyuma ya huyu kijana, kwa faida gani?.....Muda utaongea. Click to expand... Kabisa mkuu mana sio kwa promo hizi.
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,518 Reaction score 13,178 Feb 4, 2017 #92 Bigbon said: Vijana wetu hao....mwisho wao wanaanza kula sembe. Click to expand... Ohooo!!! Ndumilakuwili
Bigbon said: Vijana wetu hao....mwisho wao wanaanza kula sembe. Click to expand... Ohooo!!! Ndumilakuwili
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,518 Reaction score 13,178 Feb 4, 2017 #93 Xhaks said: Najiulizaga xana... Huyu cjui harmorapa ndio Nani....???? Click to expand... Ndiyo huyo kwenye video Ndumilakuwili
Xhaks said: Najiulizaga xana... Huyu cjui harmorapa ndio Nani....???? Click to expand... Ndiyo huyo kwenye video Ndumilakuwili
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,400 Feb 4, 2017 #94 Jamaa alomwita nyani ashindwe kbs
mkudugwa JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 226 Reaction score 222 Feb 4, 2017 #95 Iphone 8 plus said: Hapo sipo kwake,...Anashika shika tu chupa za mafuta jikoni huku anashaanga shangaa tu, kama vile ndio first time kuingia kwa nyumba hiyo Click to expand... Yaani maigizo kabisa!
Iphone 8 plus said: Hapo sipo kwake,...Anashika shika tu chupa za mafuta jikoni huku anashaanga shangaa tu, kama vile ndio first time kuingia kwa nyumba hiyo Click to expand... Yaani maigizo kabisa!
kibhopile JF-Expert Member Joined Aug 5, 2010 Posts 1,513 Reaction score 765 Feb 4, 2017 #96 Kwani huyu dogo ni nani what he does for a living?
Jamiix JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 950 Reaction score 677 Feb 4, 2017 #97 Hivi mnamuamini?
S sumbuka Member Joined Jan 30, 2017 Posts 10 Reaction score 7 Feb 4, 2017 #98 pouhmedia said: Click to expand... Maisha ya kuigiza ni magumu sana jikon unaenda kwa kuchungulia ivi hapo kwako au umeazima tujadili mambo mengine ya msingi watanzania
pouhmedia said: Click to expand... Maisha ya kuigiza ni magumu sana jikon unaenda kwa kuchungulia ivi hapo kwako au umeazima tujadili mambo mengine ya msingi watanzania
Mmanu JF-Expert Member Joined Feb 11, 2015 Posts 1,977 Reaction score 1,219 Feb 4, 2017 #99 yajutu said: Mhaya kwenye ubora wake Click to expand... Jamaa ni myao wa masasi
LadyAJ JF-Expert Member Joined Oct 21, 2015 Posts 7,173 Reaction score 9,656 Feb 4, 2017 #100 Kuna couple zingine ni kichefu chefu balaa