Ngoja jamaa wa Clouds waanze kumtafuta na kumpangia nyumba pamoja na kumpa gari la kifahari. Baadaye utasikia jamaa karudishwa maiti toka south huku Kinje na kundi lake likishughulikia kuleta mwili wake hapa Dar.
Harmoropa!!!
Unakula vinono tu, Ama kweli Maanani hakosei Toto upaje wake unawatoa udenda vijana wa mjini-unakula vyombo tu kwa raha zako!!!!
Roho mbaya haijenge MAISHA yenyewe mafupi
-Ukiyanunia maisha nayo yanakununia,ukiyachekea nayo yanakuchekea-
Ilikuwaje kuaje mpaka wakamuita aje awapige wanavyonyweshana juice. Mara wanapika pamoja, tena kwa nguo tofauti tofauti,
which means that mpiga picha alikuwa na kazi hiyo tuu ya kuwapiga picha, ili iweje?