Harmorapa awashtua MTV base ya south Africa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,319
50,533
Harmorapa si wa mchezo mchezo, jina lake lawashtua MTV Base ya Afrika Kusini. Time ya HarmoRapa kwenye Game muda huu “Kiboko ya Mabishoo” imekuwa moto kwelikweli.
Screenshot from 2017-03-14 20-03-52.png

Kama ulikuwa ufahamu ukiaachana na ishu za politics ndiye msanii anayeongoza kwa kutajwa katika Media na headlines mbalimbali za ndani na nje ya nchi. Harmo ni moto sana hashikiki kwenye Interview this time amealikwa kwenye kitimoto katika kipindi cha “Papo kwa Papo na Papi” siku ya Jumatano.

Kuingia katika session ya Papo kwa papo na si mchezo hii imedhihirika kutokana na maombi ya watu kupendekeza jina la Harmo akalie kiti cha moto.

Ikiwa hiyo haitoshi kituo cha burudani MTV Base East kupitia mtandao wa Twitter umemtaja msanii huyo Video yake ya “Kiboko ya Mabishoo” kuwa ndiyo video inayoshika namba moja kwa kuchezwa na kuombwa mara nyingi.
Screenshot from 2017-03-14 19-52-00.png
 
Nimeipenda hii staili ya hamo rapa, ila zaidi niwapongeze benchi la ufundi na propaganda.
Wapo vizuri sanaaaa.

Pamoja na vikwazo vyote! Bado hawakuogopa kuwekeza wala kukata tamaaa...walipania kutuaminisha kuwa nyeupe ni nyekundu na wamefanikiwa kwa 75% au zaidi.
Binafsi hili somo kubwa sana kwangu hasa katika biashara ya ushindani.

Wamechokonoa, wakajibiwa na wameitumia vizuri nafasi/upenyo.

Hongera sanaaa hamo rapa na walioko nyuma yako.
 
Mm kama mfanyabiashara mkongwe napenda kuwapa pongezi team ya Harmo..kwa kujua fitna ya biashara...mkamatie hapo hapo hali ya biashara imekua ngumu
 
Naskia hio track kaandikiwa yote Ila sio mbaya wasanii wengi wanaandikiwa
 
  • Thanks
Reactions: Qj_

Similar Discussions

Back
Top Bottom