Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
Kamponda nani?Asipondwe ye nani,mbona yeye anawaponda wenzake .....?
Kamponda nani?Asipondwe ye nani,mbona yeye anawaponda wenzake .....?
Kamponda Alikiba,eti anasema hana lolote anabebwa na mashabiki wanaomchukia MOND,we unakubaliana nae kwenye hilo.....?Kamponda nani?
Kamponda Alikiba,eti anasema hana lolote anabebwa na mashabiki wanaomchukia MOND,we unakubaliana nae kwenye hilo.....?
Anambio yule kufa hawezahahaha kibiti akafe?
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Kwani we unampenda kiba kwa vile unachuki na MOND,na sio unapenda muziki wa Kiba ........ ??hapo kamponda au katoa maoni yake??
ingia Google Harmorapa NunduHuyu jamaa nasikia tu msanii wa bongo fleva au mziki wa kizazi kipya lakini sijawahi kusikia wimbo wake. Anafanyia wapi hiyo sanaa?
Kwani we unampenda kiba kwa vile unachuki na MOND,na sio unapenda muziki wa Kiba ........ ??
Mbona unaamisha mada,jibu swali kisha uliza swali lako.mkeo bado hajakukimbia?
Mbona unaamisha mada,jibu swali kisha uliza swali lako.
are you she or shemale??