Kalpana JF-Expert Member Jun 16, 2017 26,839 50,028 Aug 31, 2021 #21 Namba 1 on trending. Kila laheri dogo ilimradi unakula maisha huna shida ndogo ndogo kwa tanzania umetoboa
Namba 1 on trending. Kila laheri dogo ilimradi unakula maisha huna shida ndogo ndogo kwa tanzania umetoboa
ze-dudu JF-Expert Member Jul 26, 2014 17,279 22,011 Sep 1, 2021 #22 Huu muziki nauweza πππππ
Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,232 Sep 1, 2021 #23 Kalpana said: Namba 1 on trending. Kila laheri dogo ilimradi unakula maisha huna shida ndogo ndogo kwa tanzania umetoboa Click to expand... harmonize amefanya WCB wapoteane,yaani anashindana na WCB wote but yeye anatoa hit tu,jamaa naamkubali
Kalpana said: Namba 1 on trending. Kila laheri dogo ilimradi unakula maisha huna shida ndogo ndogo kwa tanzania umetoboa Click to expand... harmonize amefanya WCB wapoteane,yaani anashindana na WCB wote but yeye anatoa hit tu,jamaa naamkubali
Mad Max JF-Expert Member Oct 21, 2010 19,095 49,902 Sep 1, 2021 #24 Viol said: harmonize amefanya WCB wapoteane,yaani anashindana na WCB wote but yeye anatoa hit tu,jamaa naamkubali Click to expand... Nimeanza kumuelewa aisee. Anawapeleka kinoma.
Viol said: harmonize amefanya WCB wapoteane,yaani anashindana na WCB wote but yeye anatoa hit tu,jamaa naamkubali Click to expand... Nimeanza kumuelewa aisee. Anawapeleka kinoma.
Mad Max JF-Expert Member Oct 21, 2010 19,095 49,902 Sep 1, 2021 #25 ze-dudu said: Huu muziki nauweza πππππ Click to expand... Nauweza kuucheza na kuimba...
ze-dudu said: Huu muziki nauweza πππππ Click to expand... Nauweza kuucheza na kuimba...