Harmonize kasuka zaidi ya miezi 6 bila kufumua

Harmonize kasuka zaidi ya miezi 6 bila kufumua

Yan mwanaume unaweka mata.ko chini unasukwa nywele

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_4499.JPG




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu leo wanawake semeni nyie mnasukaje maana kila wiki mnaenda salon kusuka ila huyu Harmonize ni zaidi ya miezi 6 tangu asuke ila nywele zake zina ubora tofauti na nyie tatizo liko wapi?

Kwanini msisuke kama Harmonize ili mpunguze matumizi ya mara kwa mara katika ususi. View attachment 1392129
Duuh
 
Alisuka kwa gundi ndio maana anaweza kuishi na huo msuko maisha yake yote bila wasiwasi
 
Back
Top Bottom