Harmonize kashuka Orodha ya Wasanii wa Muda Wote Waliotazamwa Zaidi YouTube

Ila huyu Sifael Mwabuka ni kama utani vile. Alianza kama fala fulani hivi lakini leo Mungu amemuinua! Anamzidi hadi Christopher Mwahangila!?
 
Wawapi huyo mkuu.....simfahamu
Ni Mnyakyusa wa Mbeya ila anaishi Dar. Karibia kila siku anaachia wimbo. Halafu nyimbo binafsi sizielewi lakini ndio zinaangaliwa kweli mkuu. Wewe andika tu Sifael Mwabuka you tube utaona nyimbo zake
 
Ni Mnyakyusa wa Mbeya ila anaishi Dar. Karibia kila siku anaachia wimbo. Halafu nyimbo binafsi sizielewi lakini ndio zinaangaliwa kweli mkuu. Wewe andika tu Sifael Mwabuka you tube utaona nyimbo zake
Poa poa mzee
 
Back
Top Bottom