Harmonize kabadili dini kisa Kajala

Tumezoea mwanamke ndio huamua kubadili dini ili amfuate mwanaume. Lakini leo Harmonize amebadili dini na kumfata Kajala katika Ukristo.

Harmonize jina lake halisi la NIDA ni Rajab ila kwasasa anaitwa Robert. Kesho akibwagwa tena atarudi kwenye uislamu wake au atabaki hukohuko? Dunia haijawahi kuishiwa na vituko.

Ama kweli dunia simama nishuke...

Alifikia wapi
 
Nimeweka ushahidi chini,hapo nilimtoa akili kabisa japo sina uhakika kama akili anayo .

Hili ni kosa kubwa sana kwa sheria za kiislamu kwani binadamu ana haki ya kumsujidia Mwenyezi Mungu tu.View attachment 2272115

Sub hanallah!

Hivi kweli unawezaje kumsujudia binadam mwenzio badala ya Mwenyezi Mungu (S.W) Na hili la kuritadi hivi nikweli sheikh?
 
Back
Top Bottom