Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,679
- 5,165
huku yupo ??๐๐๐Mtag atajibu mkuu
Sasa kama hayupo utajuaje aliishia wapi mkuu?๐huku yupo ??๐๐๐
Media mkuu hapa kama nipo ubao wa matangazo inaweza kumfikiaSasa kama hayupo utajuaje aliishia wapi mkuu?๐
Kwa sasa nimejiunga na CHAUMAUnataka chakula?
Ndio nani huyo huko Dar!?Naona Jaden Smith Kapita nayo huko,je harmo amefeli wapi.
Sera yetu ๐,nimejaribu kuwakumbuka baadhi ya wadauSasa mbona unauliza chakula?
sawa mkuuThat was marketing strategically maana kutoka WCB na kuendelea kusikika it was not easy .
Alihitaji kukaa katika limelight
๐๐๐๐Ngoja nimtag๐
Cc Harmonize wa Jf
Kumbe kapo humu๐Ngoja nimtag๐
cc Harmonize wa Jf
Harmo wa MchongoKumbe kapo humu๐
Katika wasanii waongo yule jamaa kazidi.Na alikuaga na project ya kufungua Radio pia. ๐.
Vijana haya mambo sijui huwa wanayachukuliaje yani!??