Harmonize ala shavu kutumbuiza nyumbani kwa Rais mstaafu Kikwete mwaka mpya msoga

Zamani ilikua msanii akienda nje anaenda kufanya show kwa ajili ya familia au Tanzanians wachache waliounga nguvu, yale hayakua maendeleo, kama ule mtindo umejirudia na umetufuata chumbani huku ni kuchimbiana kaburi.
 
whatever, huwezi kujivunia mtu mwenye chuki, visasi na ubinafsi labda kama kuna kitu unafukuzia, we endelea kujipendekeza but mjue ubaya hulipwa hapahapa duniani...


Upo sawa ndio maana nakuombea afya njema ili ushuhudie mema anayotutendea rais wetu na kama kuna ubaya unauona tusubiri kuona majibu yake maana ubaya ulipwa hapa hapa duniani kama ulivyosema.

Kwa hiyo unataka kuniambia yule bwana mkubwa kukosa urais analipwa ubaya wake aliotutendea akiwa waziri wa Maji na Ardhi? Mwambieni shamba lake la Moro lipo kwenye list ya mashamba 15 kufutwa pamoja na bwana mkubwa Ziro. Ila tusigombane nisamehe kama nakukukwaza.

Ile kampeni yetu vipi mbona siioni ikiendelea ya kumtafuta Ben?

Na vipi kubenea amewageuka coz alichoandika sijamuelewa elewa. Ben yupo kitaa mnazunguka nae kumbe mnatusbua tu.
 
Wewe ni moja ya wasanii maarufu wa taarabu/mipasho hapa nchini?
 
Ulishawahi kuimba taarabu;;?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…