Harmonize ala shavu kutumbuiza nyumbani kwa Rais mstaafu Kikwete mwaka mpya msoga

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,107
4,808
1483154315317.png
kuna watu wanajua kula bata bwana siyo wengine wanatuletea shida tu.
 
Zamani ilikua msanii akienda nje anaenda kufanya show kwa ajili ya familia au Tanzanians wachache waliounga nguvu, yale hayakua maendeleo, kama ule mtindo umejirudia na umetufuata chumbani huku ni kuchimbiana kaburi.
 
whatever, huwezi kujivunia mtu mwenye chuki, visasi na ubinafsi labda kama kuna kitu unafukuzia, we endelea kujipendekeza but mjue ubaya hulipwa hapahapa duniani...

Upo sawa ndio maana nakuombea afya njema ili ushuhudie mema anayotutendea rais wetu na kama kuna ubaya unauona tusubiri kuona majibu yake maana ubaya ulipwa hapa hapa duniani kama ulivyosema.

Kwa hiyo unataka kuniambia yule bwana mkubwa kukosa urais analipwa ubaya wake aliotutendea akiwa waziri wa Maji na Ardhi? Mwambieni shamba lake la Moro lipo kwenye list ya mashamba 15 kufutwa pamoja na bwana mkubwa Ziro. Ila tusigombane nisamehe kama nakukukwaza.

Ile kampeni yetu vipi mbona siioni ikiendelea ya kumtafuta Ben?

Na vipi kubenea amewageuka coz alichoandika sijamuelewa elewa. Ben yupo kitaa mnazunguka nae kumbe mnatusbua tu.
 
Roma haikujengwa kwa kukata mauno. Usiyempenda ndie nahodha wa mtumbwi uliopanda. Utakufa Nacho kijiba cha roho. Hamna dogo nyie mabwana wakubwa. Jk mlimuita majina yote mabaya mara Vascodagama nk lakini leo mnaonyesha kumkubali ni bahati mbaya mnapenda msikopendwa yeye siyo kama wenye nywele nyeupe mliowapaka mavi na kuanza kuwaosha wenyewe akina Guninita na wenzie. Bakini na raisi wenu wa mitima yenu huku mnaburutwa na raisi wa nchi yetu pendwa. Pole kama nitakukwaza.
Wewe ni moja ya wasanii maarufu wa taarabu/mipasho hapa nchini?
 
Roma haikujengwa kwa kukata mauno. Usiyempenda ndie nahodha wa mtumbwi uliopanda. Utakufa Nacho kijiba cha roho. Hamna dogo nyie mabwana wakubwa. Jk mlimuita majina yote mabaya mara Vascodagama nk lakini leo mnaonyesha kumkubali ni bahati mbaya mnapenda msikopendwa yeye siyo kama wenye nywele nyeupe mliowapaka mavi na kuanza kuwaosha wenyewe akina Guninita na wenzie. Bakini na raisi wenu wa mitima yenu huku mnaburutwa na raisi wa nchi yetu pendwa. Pole kama nitakukwaza.
Ulishawahi kuimba taarabu;;?
 
Back
Top Bottom