barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,328
- 29,596
Dua za kuku!
Nakumbuka ishu za;huu ni upepo uta pita tu kama swala la vyeti linavyo sahaulika..
Mambumbumbu yanaposhauriana umbumbumbi!Ni wazo zuri na litekelezwe
bila kusahau skendo ya alie kua naibu waziri wa elimu na vyeti vyakeNakumbuka ishu za;
-Januari Makamba na mzungu na Mwamvita,
-Mwigulu nchemba na jina lake,
-Hii ya cheti,
-etc
Hawa jamaa mpaka inafika 2020 watakuwa wamevimbiwa matango.
Kweli wa tz tumejaa Chuki ume mshindwa bashite unataka uende kwa wAsanii.....ila yote sawa.....kinacho fata uanzishe na kampeni nyingine ya kuwachukia mashabiki zao.......Habari zenu wanajamvi ?
Kwa niaba yenu wapenzi wa hii forum yetu pendwa ya celebrities ,leo nimeamua kuja na wazo la kutowaunga mkono wasanii wote wanaomuunga mkono magufuli na bashite wake.
Tusiwaunge mkono kuanzia kununua kazi zao ,kutohudhuria show zao, kuto request nyimbo zao redioni au kwenye television kuto wapongeza kwa chochote kile ikiwemo simulation zao za kuzaliwa ,kutowasaidia pindi watakapopatwa matatizo yoyote mpaka pale watakapoacha kuwashabikia magufuli na bashite wake.
Mpaka sasa ni ukweli usiopingika kwamba 75% ya watanzania tupo against na anachokifanya magufuli kwa sababu ameinajisi kwa kiasi kikubwa katiba yetu na kudhulumu haki zetu za msingi huku akishirikiana na bashite
Hivyo basi msanii yeyote kwa atakayeonekana yupo na hawa mabwana tumtenge totally ili kazi zake atakazozitoa zimdodee mpaka pale atakapojirekebisha na kuja kujiunga na watz wote kwa pamoja ili tupinge huu udikteta unaofanywa na hawa mabwana wanaojivisha uungu utu.
Acha uchochezi ujueSasa akiwa na makonda ndio anamkubali au?
HahahahahahahahaNakubaliana na hoja mimi naanza na Tunda.
Ndukiiiii
Nyie kama nani? Msitake kuwagawa watanzania kuna watu wanampenda jb au diamond na hawana hata ufahamu wa siasa na hawana chama hao mtawashawishije.Dogo hujielewi naona.
Too bad kwa sababu inawezeka 75% wakawa wanamkubal maguful na makonda kuliko unavyofikiria ila ukiwa kweny social network hiz inaendana na mziki unaopigwa ili kujiepusha na kelel
Mfano cheti cha makonda kina tija gani kwako kijana