Harambee ya timu ya taifa ilitakiwa ifanyike sasa au miezi 3 iliyopita?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,278
2,041
Watanganyika nawasabahi.Majuzi kumefanyika HARAMBEE ya kukusanya Fedha kwa ajili ya Timu ya Taifa iliokwishaenda IVORY COAST kushiriki Michezo ya CAF.

Katika HARAMBEE hiyo jumla ya Sh.Bil.3.7 zilikusanywa.Nampongeza sana Mh.Rais Waziri Mkuu Waziri mwenye dhamana na michezo Naibu waziri Tff na Kamati ya hamasa na wote waliochangia.

Binafsi nilikuwa najiuliza je ni wakati sahihi kwa kufanya HARAMBEE wakati Timu iliyobakiza siku 3 ianze Michuano?Je HARAMBEE ilikuwa ya kuisaidia Timu ya Taifa kupata Fedha kwa ajili ya nini?

Najua Fedha zilikuwa zinahitajika sana kwa Timu ya Taifa lakini HARAMBEE ilipaswa ifanyike Miezi 3 kabla ya Mashindano ili hizo Fedha zingetumika kuisaidia Timu kuweka kambi BORA NDANI na NJE ya Nchi,kucheza Mechi kadhaa za Majaribio na Timu kubwa kimpira ili kupata Uzoefu na mbinu mbalimbali za Michezo mikubwa kama hiyo na pia Fedha hizo zingetumika kama POSHO na Motisha kwa Wachezaji wa Timu ya Taifa kipindi chote cha Mashindano ili WACHEZE VIZURI.

Bahati mbaya sana hiyo HARAMBEE haikufanyiki kipindi hicho imekuja kufanyika siku 3 kabla ya Mashindano na ni ukweli usiopingika TIMU ya TAIFA imekusanywa kwa muda mfupi imecheza mechi 2 za Mazoezi imecheza na Timu ya Taifa ya Zanzibar timu isiyo na cha kujifunza na kutoka nayo sare,imecheza na Timu ya Taifa ya Misri na kufungwa Goli 2-0 baada ya Mechi hizo 2 Timu haijacheza Mechi zozote na Tayari Timu imekwishaenda Ivory Coast tayari kwa Mashindano.Najiuliza je Timu ya Taifa kwanini haikuwekwa KAMBINI Mapema na kwa Muda wa kutosha?

Je hizi mechi 2 za Majaribio ni MAZOEZI TOSHA kwa Timu inayokwenda Kupambana na Timu za Mataifa makubwa zenye Wachezaji wakubwa wanaocheza Kwenye VILABU vikubwa ULAYA na Uzoefu mkubwa wa Haya Mashindano?

Je Timu yetu ikishindwa kufanya Vizuri na HARAMBEE ya BIL.3.7 tumefanya siku 3 kabla ya Mashindano NANI ALAUMIWE?
Viongozi wetu tuache SIASA kwenye Michezo tena Mikubwa kama hiyo iwapo tunataka USHINDI

.Mashindano haya ni MAKUBWA na MAGUMU sana Timu nyingi zimejiaandaa pakubwa kwa muda mrefu na zinecheza Michezo mingi ya MAJARIBIO TOFAUTI na TANZANIA.

Binafsi ukweli useme VIONGOZI wetu wa Michezo Serikali na TFF TIMU yetu ya TAIFA Haijaandaliwa KIMASHINDANO bali KUSHIRIKI Tusitarajia Makubwa na Maajabu kwa Timu yetu ya TAIFA ktk MASHINDANO HAYA.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Izo fedha nikwaajili ya Timu zote za taifa na si stars pekee.
FA za nchi husika ndizo zinazo takiwa kuandaa Timu ya Taifa serikali uwa Ina changia kiasi.
Timu ya Soka imefuzu kwenye mashindano katika mechi ya mwisho Sasa ilikua Ngumu kuweka Kambi wakati kalenda za Fifa na CAF zinatofautiana.

Timu za Taifa hazina muda wa kukaa Kambini muda mrefu kwakua wachezji Wana milikiwa na vilabu na wanatokea sehemu mbalimbali duniani ambapo kalenda za mashindano ni tofauti.

Hai itajiki Kambi ya miezi kadhaa kwakua timu ya Taifa hueendi kufundishwa mpira ila kuelekezwa mfumo mtakao tumia, mpira unafundishwa kwenye klabu Yako.
 
Ingefanyika miezi 3 kabla Leo usingeona Hata senti 5 Ingesahaulika !
Kwakuwa ela imepatikana sasahivi bado kumbukumbu zipo Hata ela yenyewe itakataa kuchukuliwa maanake mashindano yameshaanza kwa maana kuwa chenji iliyobaki inatosha mechi 3 na nauli ya kurudi .🤓
 
Watanganyika nawasabahi.Majuzi kumefanyika HARAMBEE ya kukusanya Fedha kwa ajili ya Timu ya Taifa iliokwishaenda IVORY COAST kushiriki Michezo ya CAF.

Katika HARAMBEE hiyo jumla ya Sh.Bil.3.7 zilikusanywa.Nampongeza sana Mh.Rais Waziri Mkuu Waziri mwenye dhamana na michezo Naibu waziri Tff na Kamati ya hamasa na wote waliochangia.

Binafsi nilikuwa najiuliza je ni wakati sahihi kwa kufanya HARAMBEE wakati Timu iliyobakiza siku 3 ianze Michuano?Je HARAMBEE ilikuwa ya kuisaidia Timu ya Taifa kupata Fedha kwa ajili ya nini?

Najua Fedha zilikuwa zinahitajika sana kwa Timu ya Taifa lakini HARAMBEE ilipaswa ifanyike Miezi 3 kabla ya Mashindano ili hizo Fedha zingetumika kuisaidia Timu kuweka kambi BORA NDANI na NJE ya Nchi,kucheza Mechi kadhaa za Majaribio na Timu kubwa kimpira ili kupata Uzoefu na mbinu mbalimbali za Michezo mikubwa kama hiyo na pia Fedha hizo zingetumika kama POSHO na Motisha kwa Wachezaji wa Timu ya Taifa kipindi chote cha Mashindano ili WACHEZE VIZURI.

Bahati mbaya sana hiyo HARAMBEE haikufanyiki kipindi hicho imekuja kufanyika siku 3 kabla ya Mashindano na ni ukweli usiopingika TIMU ya TAIFA imekusanywa kwa muda mfupi imecheza mechi 2 za Mazoezi imecheza na Timu ya Taifa ya Zanzibar timu isiyo na cha kujifunza na kutoka nayo sare,imecheza na Timu ya Taifa ya Misri na kufungwa Goli 2-0 baada ya Mechi hizo 2 Timu haijacheza Mechi zozote na Tayari Timu imekwishaenda Ivory Coast tayari kwa Mashindano.Najiuliza je Timu ya Taifa kwanini haikuwekwa KAMBINI Mapema na kwa Muda wa kutosha?

Je hizi mechi 2 za Majaribio ni MAZOEZI TOSHA kwa Timu inayokwenda Kupambana na Timu za Mataifa makubwa zenye Wachezaji wakubwa wanaocheza Kwenye VILABU vikubwa ULAYA na Uzoefu mkubwa wa Haya Mashindano?

Je Timu yetu ikishindwa kufanya Vizuri na HARAMBEE ya BIL.3.7 tumefanya siku 3 kabla ya Mashindano NANI ALAUMIWE?
Viongozi wetu tuache SIASA kwenye Michezo tena Mikubwa kama hiyo iwapo tunataka USHINDI

.Mashindano haya ni MAKUBWA na MAGUMU sana Timu nyingi zimejiaandaa pakubwa kwa muda mrefu na zinecheza Michezo mingi ya MAJARIBIO TOFAUTI na TANZANIA.

Binafsi ukweli useme VIONGOZI wetu wa Michezo Serikali na TFF TIMU yetu ya TAIFA Haijaandaliwa KIMASHINDANO bali KUSHIRIKI Tusitarajia Makubwa na Maajabu kwa Timu yetu ya TAIFA ktk MASHINDANO HAYA.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Tupunguze ujuaji na Ulalamishi! Umeambiwa huko wachezaji waliko wamekosa pa kulala au kula? Au umeskia kuna kasoro ipi? Michuano inaanza leo tuachane na maneno ya kunyoosheana vidole kusiko na maana. Akili, ujuaji wetu na kila kitu tuelekeze Uwanjani kuisapoti Taifa Stars kila kitu kipo sawa. Hata Harambee isingefanyika kabisaaaa wala hakuna shida, Serikali na TFF wasingeshindwa. Huko ku OMBA OMBA wafanyabiashara ndio Sukari inafika 4,000/= na Mafuta 3,500/=. Tupunguze kubwabwaja kila jambo we unaona limekosewa tuuuuuu. Shiiit
 
Izo fedha nikwaajili ya Timu zote za taifa na si stars pekee.
FA za nchi husika ndizo zinazo takiwa kuandaa Timu ya Taifa serikali uwa Ina changia kiasi.
Timu ya Soka imefuzu kwenye mashindano katika mechi ya mwisho Sasa ilikua Ngumu kuweka Kambi wakati kalenda za Fifa na CAF zinatofautiana.

Timu za Taifa hazina muda wa kukaa Kambini muda mrefu kwakua wachezji Wana milikiwa na vilabu na wanatokea sehemu mbalimbali duniani ambapo kalenda za mashindano ni tofauti.

Hai itajiki Kambi ya miezi kadhaa kwakua timu ya Taifa hueendi kufundishwa mpira ila kuelekezwa mfumo mtakao tumia, mpira unafundishwa kwenye klabu Yako.
wewe mleta mada njoo usome hapa maana umejibiwa kwa usahihi

N.b Fuatilia kwa umakini timu zote zilizomo kwenye mashindano zimekusanywa na kucheza friendly match chache kama sisi

Hakuna national team inayomiliki mchezaji
 
Acha kupangia watu Mambo ya kusema!, Wewe Kama halikufurahishi pita kushoto!, Kama tff na serikali walikuwa wanaweza kuendesha timu hizo harambee za nini?.
Tupunguze ujuaji na Ulalamishi! Umeambiwa huko wachezaji waliko wamekosa pa kulala au kula? Au umeskia kuna kasoro ipi? Michuano inaanza leo tuachane na maneno ya kunyoosheana vidole kusiko na maana. Akili, ujuaji wetu na kila kitu tuelekeze Uwanjani kuisapoti Taifa Stars kila kitu kipo sawa. Hata Harambee isingefanyika kabisaaaa wala hakuna shida, Serikali na TFF wasingeshindwa. Huko ku OMBA OMBA wafanyabiashara ndio Sukari inafika 4,000/= na Mafuta 3,500/=. Tupunguze kubwabwaja kila jambo we unaona limekosewa tuuuuuu. Shiiit
 
Ingefanyika miezi mitatu nyuma mpaka leo hii hakuna cent ambayo ingekua imebaki. Milioni 180 tu ya madogo ilipigwa madogo wakapewa 20k kila mmoja sembuse izo bilioni kadhaa
 
Watanganyika nawasabahi.Majuzi kumefanyika HARAMBEE ya kukusanya Fedha kwa ajili ya Timu ya Taifa iliokwishaenda IVORY COAST kushiriki Michezo ya CAF.

Katika HARAMBEE hiyo jumla ya Sh.Bil.3.7 zilikusanywa.Nampongeza sana Mh.Rais Waziri Mkuu Waziri mwenye dhamana na michezo Naibu waziri Tff na Kamati ya hamasa na wote waliochangia.

Binafsi nilikuwa najiuliza je ni wakati sahihi kwa kufanya HARAMBEE wakati Timu iliyobakiza siku 3 ianze Michuano?Je HARAMBEE ilikuwa ya kuisaidia Timu ya Taifa kupata Fedha kwa ajili ya nini?

Najua Fedha zilikuwa zinahitajika sana kwa Timu ya Taifa lakini HARAMBEE ilipaswa ifanyike Miezi 3 kabla ya Mashindano ili hizo Fedha zingetumika kuisaidia Timu kuweka kambi BORA NDANI na NJE ya Nchi,kucheza Mechi kadhaa za Majaribio na Timu kubwa kimpira ili kupata Uzoefu na mbinu mbalimbali za Michezo mikubwa kama hiyo na pia Fedha hizo zingetumika kama POSHO na Motisha kwa Wachezaji wa Timu ya Taifa kipindi chote cha Mashindano ili WACHEZE VIZURI.

Bahati mbaya sana hiyo HARAMBEE haikufanyiki kipindi hicho imekuja kufanyika siku 3 kabla ya Mashindano na ni ukweli usiopingika TIMU ya TAIFA imekusanywa kwa muda mfupi imecheza mechi 2 za Mazoezi imecheza na Timu ya Taifa ya Zanzibar timu isiyo na cha kujifunza na kutoka nayo sare,imecheza na Timu ya Taifa ya Misri na kufungwa Goli 2-0 baada ya Mechi hizo 2 Timu haijacheza Mechi zozote na Tayari Timu imekwishaenda Ivory Coast tayari kwa Mashindano.Najiuliza je Timu ya Taifa kwanini haikuwekwa KAMBINI Mapema na kwa Muda wa kutosha?

Je hizi mechi 2 za Majaribio ni MAZOEZI TOSHA kwa Timu inayokwenda Kupambana na Timu za Mataifa makubwa zenye Wachezaji wakubwa wanaocheza Kwenye VILABU vikubwa ULAYA na Uzoefu mkubwa wa Haya Mashindano?

Je Timu yetu ikishindwa kufanya Vizuri na HARAMBEE ya BIL.3.7 tumefanya siku 3 kabla ya Mashindano NANI ALAUMIWE?
Viongozi wetu tuache SIASA kwenye Michezo tena Mikubwa kama hiyo iwapo tunataka USHINDI

.Mashindano haya ni MAKUBWA na MAGUMU sana Timu nyingi zimejiaandaa pakubwa kwa muda mrefu na zinecheza Michezo mingi ya MAJARIBIO TOFAUTI na TANZANIA.

Binafsi ukweli useme VIONGOZI wetu wa Michezo Serikali na TFF TIMU yetu ya TAIFA Haijaandaliwa KIMASHINDANO bali KUSHIRIKI Tusitarajia Makubwa na Maajabu kwa Timu yetu ya TAIFA ktk MASHINDANO HAYA.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Soma kuhusu account receivable, unaweza ukaazima pesa watoto wako wakaenda shule
 
Ile ni harambee ya timu za TAIFA sio timu ya taifa. Ukihitaji ufafanu nipo hapa chini ya mti
 
Back
Top Bottom