Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Harambee aliyoiendesha Prof. Muhongo kwa maafisa alioandamana nao Bukoba, yakusanya TZS 40,000/-
Ziara aliyoifanya waziri wa nishati na madini Sospeter Muhongo katika mtaa wa Hamugembe iligeuka kuwa harambee baada ya waathirika wa tetemeko la ardhi kudai msaada wa chakula na mahema
Hali hiyo ilimlazimu Prof. Muhongo kuitisha mchango wa fedha kutoka kwa maofisa aliokuwa nao na kufanikiwa kupata 40,000 na kuwakabidhi wakazi hao.
Mkazi wa mtaa huo Sadick Shaban alilalamika kuwa waathirika wa tetemeko hilo hawajapata misaada inayotolewa, mkazi mwingine Adventina Shumuni amedai tangu maafa hayo yatokee wametembelewa na afisa wa Tanesco aliyewaachia 20,000 tu baada ya kuwahurumia kwa kukosa makazi
Chanzo: Mwananchi