Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

Movement iko poa,ila confidence ya Nassari iko down leo.
 
TBC waliandika barua kwa CDM hawataweza kucove kampeni zao kama hawatahakikishiwa usalama wao, what a joke
 
Nimeguswa sana na chadema hasa leo wanapozindua mchakato wa changia Chadema.Chadema watoe M-Pesa,au Tigo,au Airtel Money.Sasa wewe je unaichangia shilingi ngapi chadema?Saa ya ukombomozi ni sasat
 
Chama cha walalamikaji, chama kila mara kinaona kinonewa!
Hongereni CDM kwa kuweka historia mpya TZ ya kuomba omba kuanzia kura hadi fedha za kuendesha chama na za kampeni!
Bora kuomba kuliko kuiba au ujafuzwa na wazazi wako.
 
changia chadema wewe; acha kujibaraguza
Kuna watu ndani ya CDM ambao ukiwachangia kama vile akina Zitto unaona kabisa umeitea vyema hela yako! But kuwachangia hao ndugu zangu wengine ni kutupa tu hela jalalani!
 

nyamaza hujui lengo kijana tulia kwa mama unywe uji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…