mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 626
Mkuu watu kama Rejeo,Ritz,Waberoya,Mohamedi shossi,Kimbunga and com'leo hawatapata usingizi kwa chuki waliyonayohahaaa mkuu hata huyu Ritz inaonekana anaizimia CDM ile mbaya ile vidole kwenye keyboard ndio vinapindisha ukweli
hahaaa mkuu hata huyu Ritz inaonekana anaizimia CDM ile mbaya ile vidole kwenye keyboard ndio vinapindisha ukweli
Achana nae huyo ni magamba damuWewe sikuamini tena ulituletea picha feki ya mwaka jana ukasema ni ya leo Arumeru hovyo kabisa.
siasa za marekani na Tz tofauti kabisa! Namna yao ya kuraise fund ni tofauti kabisa na wanayofanya CDM!Hata Obama mwaka 2008 alipitisha bakuli na watu walichangia...
Mkapa katoa agizo Matokeo yatangazwe CDM wataenda kudai mahakamani siri toka vikao vya CCM
Mkuu watu kama Rejeo,Ritz,Waberoya,Mohamedi shossi,Kimbunga and com'leo hawatapata usingizi kwa chuki waliyonayo
dhidi ya CDM...yaani kama ninawaona walivyokasilika huko waliko. Poleni sana! Mnamuona Mbowe huyo? Mnaona
hayo manoti ya michango hapo mezani? Kubali mkatae Chadema ni namba nyingine!
Mkuu,kumbe ulikuwa hujui? Siri zote zinazopangwa na ccm...baadae kati yao kuna wanaozipeleka CDMDuh! Dr Slaa ni kiboko ndio maana sitofautiani na baadhi ya members humu wanaposema kua kuna wana CCM wanaipenda CDM, ndio maana inakua ni rahisi sana kwa CDM kupata info zote na hujuma za CCM
mmeanza kujihami , tume ina makosa gani? Na mkapa ametowa wapi haya maagizo? Hamtaacha uchochezi mpaka mtakapopata viongozi wabunifu,, hamuishi kulalama kama wanawake subirini hy tarehe 1-4-2012 mtakavyosambaa mapema
Ndiyo maana yakemchana wanaunga mkono magamba usiku wanalala CHADEMA
Kuna watu wa kuwaomba michango na siyo kila mtu!
CDM wamezidi..mpaka kwenye mikutano ya kampeni? Hii haijawahi tokea!
Wasiwasi wangu ni matumizi tu ya hizo hela..sidhani kama zitatumika kwa kusudio lake!Mkuu watu kama Rejeo,Ritz,Waberoya,Mohamedi shossi,Kimbunga and com'leo hawatapata usingizi kwa chuki waliyonayo
dhidi ya CDM...yaani kama ninawaona walivyokasilika huko waliko. Poleni sana! Mnamuona Mbowe huyo? Mnaona
hayo manoti ya michango hapo mezani? Kubali mkatae Chadema ni namba nyingine!
Manyanza,
Nipo na vijana wangu wa kazi mabingwa wa IT wanaweza kufanya Network's Collapse kwenye makampuni yote ya simu, lakini nimeamua kuacha mpate pesa kidogo ya kula.