LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
Ni kweli, kuna harambee ya cdm ijumaa pale Naura Spring. Lengo ni kukusanya hela za kuimarisha chama, kampeni za Arumeru na kujenga jengo la makao makuu ya cdm (m) huko Arusha!
Mkuu Nape,
Nakumbuka sana kwamba wengine huku tulishakukataza kuwajaza hawa WAPIGA KELELE wa CCM wasiokua na hoja yoyote yenye mantiki kichwani bali uhodari wao ni kwenye kuanzisha tu utitiri wa NYUZI hapa jukwani.
Hebu ona sasa wameleta hoja watu tukalidadavue neno kwa neno, nukta kwa nukta bila jazba wala kutumia HOJA ZA NGUVU, lakini kabla hata hatujashusha hata robo ya nondo humu vijana wako wao tayari wameshakula kona.
Anyway, wanasaidia sana kukitangaza vema CHADEMA bila ya wao kujua hilo kwa kukitaja tja zaidi ya mara 200 kutwa mara tatu. Na huo ndio ufurukutwa kwa CDM bila ya Magamba kujitabua.
Big up sama akina 'Ritz' na 'Dume la Rushwa' kwa kazi hii nzuri!!
Hiki chama kimeishiwa hivyo ? na nimepata habari za uhakika kuwa mwitikio wa sadaka ni mdogo sana mpaka sasa wamekusanya TZS 26M tu. TO HELL CDM !
Mtachemka wenyewe, Hatuna pesa lakini tuna Mungu na watu wetu!
Mungu hana mahusiano na mafisadi wanaotumia nafasi zao kujali matumbo yao. Mungu siku yuko upande wa watu wanaojali wenye shida na kuteteta wanyonge.Mkuu hapo kwenye Mungu napingana na wewe Mungu ana ubaguzi Mungu ni wa wote, Mungu kawaumba Pro-Chadema, Pro-CCM, Pro- CUF na wengine wote, sasa usijifanye Mungu ni wa Chadema peke yake huo ufinyu wa mawazo.
Ww ni CCM kufa na hata rangi umetumia ya CCM . Na unampenda Dumela Mbegu, haya shauri yako yasije yakakutokea yakuvimba tumbo
Kamanda tarehe iko sahihi kabisa maana mimi yatari nina kadi yangu nitatia timu kuchangia chama langu kwa fujo! Ni Ijumaa ya Tar 23, March, Kuanzia saa 1:30 jioni. Itakuwa live starTV, kwahiyo kama hutahudhuria changieni kwa M-pesa, Tigo Pesa, na Airtel Money! Viva Chadema!
Mungu wa manyani ndiye yule yule wa magamba na CDM usijidanganye mkuu.Mungu na mbio!!Mtachemka wenyewe, Hatuna pesa lakini tuna Mungu na watu wetu!
Mungu hana mahusiano na mafisadi wanaotumia nafasi zao kujali matumbo yao. Mungu siku yuko upande wa watu wanaojali wenye shida na kuteteta wanyonge.
Hela ya ruzuku iko wapi ? Hela anazowapa Sabodo aka Kada wa ccm kila mwezi ziko wapi ?
[/QUOTE
Acha kufikiri kwa kutumia masaburi unadhani kazi ya ruzuku ni kampeni kama mfanyavyo magamba? Think big, shame on you
Mkuu hapo kwenye Mungu napingana na wewe Mungu ana ubaguzi Mungu ni wa wote, Mungu kawaumba Pro-Chadema, Pro-CCM, Pro- CUF na wengine wote, sasa usijifanye Mungu ni wa Chadema peke yake huo ufinyu wa mawazo.
Kama chadema kwa Arumeru imekusanya 26m basi basi CCM bai bai 2014.....Hiki chama kimeishiwa hivyo ? na nimepata habari za uhakika kuwa mwitikio wa sadaka ni mdogo sana mpaka sasa wamekusanya TZS 26M tu. TO HELL CDM !
26m zenyewe ni zile wananchi wanazo hongwa na ccm na kupelekea CDM....Wewe mnafiki, hizo milion 26 ni za wananchi walala hoi wanataka ukombozi, swala si kiasi cha pesa wanachotoa swala moyo wanaoutoa kwa chadema! Subirini mapinduzi yatakayotokea! Nyie si mnajivunia kodi za wananchi na michango ya mafisadi hongereni, but your days are numbered! Sisi tutakuwepo kuchangia chama letu!