Harakati za wanyama na wadudu

Harakati za wanyama na wadudu

1742868629695.jpg
 
Huwa najiuliza inakuwaje wadudu,wana akili uenda kama za binadamu au kumzidi binadamu!!?,mfano mzuri ni nyuki,kwanza wako very organized pale kwenye mzinga wao,kuna wafanyakazi wakutafuta malighafi kwa ajili ya kutengeneza asali,kuna wanaotengeneza (kiwandani),kuna wataalamu wa mahabara wanapima viwango vinavyotakiwa vya asali,kuna Askari kuanzia kwa malkia ndani ya ngome (mzinga),na nje ya ngome,,nk nk.
Kumbuka hawajaenda shule hawa,wanawezaje kufanya hayo yote?, binadamu na usomi wake hajawezatengeneza hata mfanano wa asali,haya ni maajabu ya mungu kwa kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom