Harakati za ujana

Harakati za ujana

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
Hapa ka bi dada lazima kakubali tu aiseee....Si unaona kashalegeza shingo....

attachment.php
 

Attachments

  • 394856_127182597449140_728640175_n.jpg
    394856_127182597449140_728640175_n.jpg
    30.2 KB · Views: 622
Yaani hapo wametoka walikotoka kufika hapo binti kachomoa....nduio jamaa anapiga sound ili mtoto akubali. Nadhani binti kamwambia jamaa BILA DUME hupati kitu
 
Hapa ka bi dada lazima kakubali tu aiseee....Si unaona kashalegeza shingo....

Yaani hapo wametoka walikotoka kufika hapo binti kachomoa....nduio jamaa anapiga sound ili mtoto akubali. Nadhani binti kamwambia jamaa BILA DUME hupati kitu

Si kweli mmewaza sivyo. Hao ni kaka na dada. kaka anaondoka kwenda safari na anamuaga dada. Dda anahuzunika kwakuwa kaka anaondoka. kijana anakwanda kwenye harakati za ujana yaani kutafuta pesa ! fainali uzeeni
 
@asigwa,

Hiyo staili ya mdada inaitwa sitaki nataka.
 
Anamwambia, "nipe changu kwanza"! Sharo hana kitu anajitetea...!
 
Si kweli mmewaza sivyo. Hao ni kaka na dada. kaka anaondoka kwenda safari na anamuaga dada. Dda anahuzunika kwakuwa kaka anaondoka. kijana anakwanda kwenye harakati za ujana yaani kutafuta pesa ! fainali uzeeni

teh kuhuzunika mpaka unalegeza shingo???
 
inavyoonekana jamaa alishafanya usafi wa room kabisa maana naona ufagio upo pembeni ya mlango pale nje.

yap nahisi aisee...ila kanazingua hakataki kuingia...mwisho wa siku meno lazima yaumane tuu....
 
usikute alikua anamlia timing mkaka wa watu siku nyingi...leo anajina na yeye mwenye bahati....
Hilo nalo neno maanake hilo pozi mmmmmmmhhhhhhh!mkaka wa watu naona na mikono keshanawa kwa uhakika kuwa lazima hapo ale tu.
 
Back
Top Bottom