Umeeleweka nokia!Endeleeni kutumia mipira muishi maisha marefu
Hivi huwa mnatumia vigezo gani hapa JF kujuwa birthday ya mtu?
Kwani lara hajui birthday yako ni lini?
Point yangu nilitaka kujuwa watu wanatumia particular za humu au za nje ya JF?
Point yangu nilitaka kujuwa watu wanatumia particular za humu au za nje ya JF?
Hivi huwa mnatumia vigezo gani hapa JF kujuwa birthday ya mtu?
Kitu nje ya box
Kwa jibu hilo hujaelewa tu?