Asante sana
naona hapa job ndo watu wanaishia kwenye maandamano japo kuna manyunyu kidogo huko nje.
hapa kuna kazi imenitaiti nimeshindwa kwenda kuandamana hata last year was the same kama leo, dah mbayaa.
Ipo siku ya wanaume. But sikumbuki tarehe.
namim nilikuwepo Tanganyika packers, pamoja na mvua was great.
Nilichezaje mchiriku.
Men's day ipo lini?
[h=5]God created Man first… but… he wanted to create something better… Guess what! He created a woman! Happy Women's day
hebu nipe Objectives zenu...........[/h]Ya kwetu hii hapa
International Men's Day (IMD) is an annual international event celebrated November 19, The objectives of celebrating an International Men's Day include focusing on men's and boys' health, improving gender relations, promoting gender equality, and highlighting positive male
role models.[SUP][/SUP][SUP][/SUP][SUP][/SUP][SUP][/SUP] It is an occasion to highlight discrimination against men and boys and to celebrate their achievements and contributions, in particular for their contributions to community, family, marriage, and child care.[SUP][/SUP][SUP][/SUP][SUP][/SUP]The broader and ultimate aim of the event is to promote basic humanitarian values.
Kumbe ndio wewe yule...halafu mbona hukubeba bango la ofisi??
Ha ha ha haa
Nilikuwa nyuma kabisa ya bango!
Hahahah....nilikua na van ya wahandishi wa habari nikashindwa kukushtua loh...
Ila nyie wengi pale mlienda kwa ajili ya zile posho mpendwa, hebu niambie ubatizo wote ule wa mvua duh!!!
Akhaaa mwenzngu tulienda kuserebuka japo viposho ni chachu.
Mwanamke hoyeeeeeee
Hahahaha...umesahau kutaja na yale mapande mawili ya vitenge
Na tisheti na kofia.
Halafu mnakutana na watu ambao mliachana chuo, rahaje?
Halafu matisheti quality mbayaaaa kweli vitu vya bure hasara...
Wapi takuwa j3...kama takuwa mujini Posta mimi taka tafuta wewe..
Nitakutafuta unitoe lunch, qwi qwi qwi.