Sawa makubwa, lakini ushatuma?makubwa tena haya lol.
Mwenzio nishatuma ndo kama hivi nimekutumia na wewe... Hii ni raisi sana kumesha, ni dhaifu hii kama kama ilivyo 'RAISI'hii ni ngumu hata kuimeza.
Sasa mnakutana wapi ili niwalete wadau..................................., au ndio pale pale lady's free!!!!!!LEO ni Siku ya Watu Wenye Wapenzi zaidi ya Mmoja, Kauli Mbiu:- "EPUKA KUSEMA SINA MWINGINE ZAIDI YAKO". Tuma sms hii kwa Watu unaohisi wanao Wapenzi zaidi ya Mmoja! Kama MIMI nilivyokuhisi WEWE. "HAPPY VICHECHE DAY! "
Mwenzio nishatuma ndo kama hivi nimekutumia na wewe... Hii ni raisi sana kumesha, ni dhaifu hii kama kama ilivyo 'RAISI'
Mwenzio nishatuma ndo kama hivi nimekutumia na wewe... Hii ni raisi sana kumesha, ni dhaifu hii kama kama ilivyo 'RAISI'
hii ni ngumu hata kuimeza.
Vicheche tumeni,
vicheche wa kike au wa kiume? Afu mwenyekiti mie nimeshindwa kusubiri mpaka nitenganishwe na kifo, nimeandika talaka 15 ambazo nitazipitisha ofcn kwako upige sahihi yako tayari kwa kupelekwa kwa Evelyn Salt