Happy Valentine Day...

Mkwe wewe ni mkwe wa ukweli unajua vitu vizuri kama hivi, asante sana I hope utamtunza my baby Ulikulaje Valentine?
Ahsante sana Mkwe.. Mwanao nitamtunza na kumthamini, atakuwa ni sehemu ya mwili wangu. Lazma awe salama... Valentine nilisherekea kwa kufurah pamoja na ndugu, jamaa, majirani na marafiki..
 
asante mkwe,
take care yourself.

Ahsante sana Mkwe.. Mwanao nitamtunza na kumthamini, atakuwa ni sehemu ya mwili wangu. Lazma awe salama... Valentine nilisherekea kwa kufurah pamoja na ndugu, jamaa, majirani na marafiki..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…