The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Tuhimizane zero grazing na la ikishindikana basi ndomu zitumike,vinginevyo tutapukutika kama mbegu za papai.
Ujumbe mahsusi kwa The secretary: tulizana kwa bishanga.
kila mtu akimwekea mpenzi wake dawa ya kunasiana huu ugonjwa utaisha tanzania, mimi nitawauzia wana jf hii dawa kwa gharama nafuu.
Call Mobile: 0741800800
By: Mobitel
Dah Hiyo Avatar yako imenikumbusha utamu wa muvi ya Ice age 3
umeshaiona 4 continental drift?
Cha kusikitisha leo kuna watu wana promise za kupeana mambo.