Happy thanksgiving!!!!!!

MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Likes
139
Points
160
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 139 160
Leo ni mwendo wa "Bata Mzinga" tu sio. Hiki kipindi mpaka X-Mass ndio watu huwa wana-gain weight mpaka wanachanganyikiwa, wana kula ni balaa!.:teeth:
Turkey with Sausage, Apricot, and Sage Stuffing
turkey-ck-1545749-l.jpg
 
J

John10

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Messages
357
Likes
0
Points
0
J

John10

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2009
357 0 0
Kwa Muafrika kucelebrate Thanksgiving ni IGNORANCE kwa kutojua vizuri Historia ya North America. Hii ni sikukuu ya kushangilia Mauaji ya Kikatili yalifonywa dhidi ya Native American -Red India.

Angelina Jolie ‘against celebrating Thanksgiving’

Melbourne Hollywood star [COLOR=#0000ff !important][COLOR=#0000ff !important]Angelina [COLOR=#0000ff !important]Jolie[/COLOR][/COLOR][/COLOR]
grey_loader.gif

is reportedly against celebrating Thanksgiving because she feels it’s a ‘story of murder’.

"Jolie hates this holiday and wants no part in rewriting history like so many other Americans," News.com.au quoted a friend as telling Popeater.
"To celebrate what the white settlers did to the native Indians, the domination of one culture over another, just isn't her style. “She definitely doesn't want to teach her multi-cultural family how to celebrate a [COLOR=#0000ff !important][COLOR=#0000ff !important]story[/COLOR][/COLOR] of murder,” the friend added.
 
J

John10

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Messages
357
Likes
0
Points
0
J

John10

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2009
357 0 0
Maxshimba hiyo sherehe inahusu nini?.....
Hii ni sherehe inayohusu Mauaji ya Kikatili yaliyofanywa dhidi ya Native American-red indian. Kwa Muafrika kushangilia hii sikukuu ni IGNORANCE, na kutojua vizuri historia ya North America.Melbourne, Nov 25 (ANI): Hollywood star Angelina Jolie is reportedly against celebrating Thanksgiving because she feels it’s a ’story of murder’.
“Jolie hates this holiday and wants no part in rewriting history like so many other Americans,” News.com.au quoted a friend as telling Popeater.
“To celebrate what the white settlers did to the native Indians, the domination of one culture over another, just isn’t her style.
“She definitely doesn’t want to teach her multi-cultural family how to celebrate a story of murder,” the friend added. (ANI)
 
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Likes
139
Points
160
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 139 160
Melbourne, Nov 25 (ANI): Hollywood star Angelina Jolie is reportedly against celebrating Thanksgiving because she feels it's a 'story of murder'.
I do celebrate thanksgiving. I don't go by feelings.
 
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Likes
139
Points
160
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 139 160
Ndiyo hiyo IGNORANCE.
Thanks.

You go by feelings and I will never and never will I be controlled by feelings or hollywood womens like you. Thats why Jolie took someones husband because of using feelings.

I do celebrate thanksgiving.

I its shame and sad, watu wanaamka na chuki kali ndani yao! Sijuwi walilalaje hawa, kama chuki ndani yao kali namna hii asubuhi asubuhi.

Oooops, let ME go and eat----- TURKEY.

HAPPY THANKSGIVING
 
Asante Mukulu Max. You gave him a good answer.

Happy thanksgiving to you too.
 
Kipala

Kipala

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Messages
3,562
Likes
98
Points
145
Kipala

Kipala

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2009
3,562 98 145
Hii sherehe ina maana nje ya Marekani? Yaani kwao labda Novemba ni wakati wa mavuno (wapi?) na kuandaa kipindi cha witer kwa hiyo walianzisha sherehe hii ya kushukuru kwa vyakula vilivyopatikana katika kipindi cha joto kwao maana baadaye winter hakuna chakula kutoka mashambani.
Lakini nchi nyingine Ulaya wana sherehe na ibada za kushukuru mwezi wa Oktoba, maana iko kaskazini zaidi.

Afrika kuna uwingi wa hali ya hewa kwa hiyo hakuna wakati wa pamoja kwa shukrani za aina hii.
Kwa hiyo wale walioko Marekani washeherekee tu (au waiache wakikumbuka historia ya siku ile).
Ila tu nje ya Marekani - ina maana je?
 
J

John10

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Messages
357
Likes
0
Points
0
J

John10

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2009
357 0 0
Thanks.

You go by feelings and I will never and never will I be controlled by feelings or hollywood womens like you. Thats why Jolie took someones husband because of using feelings.

I do celebrate thanksgiving.

I its shame and sad, watu wanaamka na chuki kali ndani yao! Sijuwi walilalaje hawa, kama chuki ndani yao kali namna hii asubuhi asubuhi.

Oooops, let ME go and eat----- TURKEY.

HAPPY THANKSGIVING

I gave you an example of celebrity; because, it seems you have limited knowledge on North American History.
"Thanksgiving Day was first officially proclaimed by the Governor of the Massachusetts Bay Colony in 1637 to commemorate the massacre of 700 men, women and children who were celebrating their annual green corn dance-Thanksgiving Day to them-in their own house," Newell said. "Gathered in this place of meeting they were attacked by mercenaries and Dutch and English.

The Indians were ordered from the building and as they came forth they were shot down. The rest were burned alive in the building," he said. Newell based his research on studies of Holland Documents and the 13 volume Colonial Documentary History, both thick sets of letters and reports from colonial officials to their superiors and the king in England, and the private papers of Sir William Johnson, British Indian agent for the New York colony for 30 years in the mid-1600s. "My research is authentic because it is documentary," Newell said.
"You can't get anything more accurate than that because it is first hand. It is not hearsay." Newell said the next 100 Thanksgivings commemorated the killing of the Indians at what is now Groton, Ct. [home of a nuclear submarine base] rather than a celebration with them.
 
Gama

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Messages
9,875
Likes
1,712
Points
280
Gama

Gama

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2010
9,875 1,712 280
umarekani huo mpenzi. kuna vituko huko ibada za kipagani nyingi mno km hii, halloween even santa clause. upuuzi mtupu
traditions zao unaziita upagani? Why?, za kwako je? Tazama: ngoma ya mkole, ngoma ya kumtoa mwali , tambiko la babu,kujengea kaburi la babu nk. Au ndo mambo ya nyani haoni kundule?
 
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Likes
139
Points
160
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 139 160
I gave you an example of celebrat;

Melbourne, Nov 25 (ANI): Hollywood star Angelina Jolie is reportedly against celebrating Thanksgiving because she feels it's a 'story of murder'.
"Jolie hates this holiday.
Is Jolie an example of celebrate? You must be insane. Hivi huwa unakumbuka ulicho andika?

Kaazi kweli kweli pundit aka bluray aka yohana10. Wewe nenda kasherekee kifo cha marehemu darwin.

Wewe endelea kufuata huyo jolie, anayekwenda kwa mafeelings.

You don't tell me what to follow or do, like you have just confess to everybody here that you are a follower and not even a leader of your own...... lol
 
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Likes
139
Points
160
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 139 160
Hii sherehe ina maana nje ya Marekani? Yaani kwao labda Novemba ni wakati wa mavuno (wapi?) na kuandaa kipindi cha witer kwa hiyo walianzisha sherehe hii ya kushukuru kwa vyakula vilivyopatikana katika kipindi cha joto kwao maana baadaye winter hakuna chakula kutoka mashambani.
Lakini nchi nyingine Ulaya wana sherehe na ibada za kushukuru mwezi wa Oktoba, maana iko kaskazini zaidi.

Afrika kuna uwingi wa hali ya hewa kwa hiyo hakuna wakati wa pamoja kwa shukrani za aina hii.
Kwa hiyo wale walioko Marekani washeherekee tu (au waiache wakikumbuka historia ya siku ile).
Ila tu nje ya Marekani - ina maana je?
Kumbuka JF si ya Tanzania au Afrika pekee.
 
Companero

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Messages
5,497
Likes
223
Points
160
Companero

Companero

Platinum Member
Joined Jul 12, 2008
5,497 223 160
Mimi kama rafiki wa Wamarekani wa Asili (Native Americans) ambao waliporwa ardhi na uhai wao ili kuwe na Thankgiving nasema Unhappy Thanksgiving!
 
njiwa

njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
11,410
Likes
2,094
Points
280
njiwa

njiwa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2009
11,410 2,094 280
Mimi kama rafiki wa Wamarekani wa Asili (Native Americans) ambao waliporwa ardhi na uhai wao ili kuwe na Thankgiving nasema Unhappy Thanksgiving!
nakuunga mkono.. kwa hili
 
Forum statistics

Threads 1,236,217
Members 475,029
Posts 29,250,155