Happy new year great thinkers

Happy new year great thinkers

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
2,450
Reaction score
1,753
Ni ka mwezi kamoja tu kamepita toka huu mwaka uanze, hivyo sijachlewa kuwatakieni heri ya mwaka mpya.
 
Ni ka mwezi kamoja tu kamepita toka huu mwaka uanze, hivyo sijachlewa kuwatakieni heri ya mwaka mpya.

Basi nlifkir happy chinese new year...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mpaka Baraza jipya limeshatangazwa.....!
Mwaka sio mpya tena huu mkuu.
Vipi habari za siku nyingi?
 
Mpaka Baraza jipya limeshatangazwa.....!
Mwaka sio mpya tena huu mkuu.
Vipi habari za siku nyingi?

Habari za siku ni nzuri, u busy ndi mwingi mpaka nasahau kuwatakia mwaka mpya Mwanyasi, vipi Arushaone yupo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom