Mashaxizo Heaven on Earth akimithiwa anapigiwa bana
namba ya kilonga longa si uanyo
...1
Hapo kwenye eruption of Bombs nipe mfano basi ili niweze kujua kabisa
Nimelimbikizaje makosaa!!!!!
...2
kwako wewe
Mashaxizo najua we ni short tempered na kuna siku nilikwambia
muda si mrefu ukapewa BAN nothing else zaidi ya hapo your among the PEOPLE
I admire here in JF in case you didn't Know....
...3
Mwaka 2014 naomba uoe tu achana na siasa za kina
mwekundu
...1
Hahahaaaa!
Mi thio Mungu mtu but kwa kupenda kusoma astrological signs nimegundua fact nyingi za watu!
I know wewe ni Virgo!
Nimethibitisha hilo kwa:
1 tarehe yako ya kuzaliwa! (uliaanika mwenyewe!)
2 you are very intelligent, na unaongozwa na akili rather than Moyo!
Na post zako zinathibitisha hilo!
na kule wanasema sifa yako kuu ni kuona aibu kiasi watu wengi wanakuambia unaringa!
...
mf wa eruption:
when unamupenzi na kuanza kuskia swaga zake za kukusaliti, haumfanyii haraka! (haumtahadharishi!)
mwenyewe unaanza kuunganisha dots, na sentensi ikitimia hapo hauwezi kumuelewa tena! Labda awe tayari kakuingiza kingi!
Na ukisema mtu unaachana nae, huaga unaachana nae kiukweli, haijalishi kakutoa bikra or kakula mbunye!
...
Not only mupenz, hata rafiki unatumia procedure hizo hizo!
Na mtu akikudhalisha kumsamehe inakua shughuli ndefu! Na hata ukimsamehe hauwezi kumueka ktk nafasi uliomueka mwanzo!
...
Also haupendi mtu akuchanganyie maneno!
Ukihitaji fact zaidi! Kuja piemo!
...2
Hahahahahaaaa!
Personal attack zote siwezi kukubaliana nazo! Yule alienipigisha ban alinitusi kama utakumbuka alimuhusisha hata my mama!
...
Ukiachia ile issue vipi kuhusu nyengine nyengine?
If hakuna no problem!
...3
hahahahaaaa! Mwisho wa siku nitaoa tu Mungu akipenda!
Mi bado mdogo! Hata miaka 25 sijafika! teh teh teh!
Na mimi ni king of Jungle(leo)! Ni sign inayoongozwa na moyo rather than akili!
Ni kwa romantic tunaongoza kuliko sign zote zilizobaki! Kwa sisi hakuna mafanikio bila mapenzi! Kwa mimi nikiwa na mupenz ndio kila kitu kinaenda sawa! Na kwa sisi hauwezi kutofautisha love and sex! Kiukweli siwezi kudumu na ke asietoa mbunye! Hahahahahaaaaa!