Happy mama's day

Happy mama's day

sungura1980

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
1,909
Reaction score
1,225
Wapendwa wana JF,tunapoadhimisha siku ya leo ya wamama/wanawake duniani,nachukua nafasi hii kukushukuru mama yangu mpendwa kwa kunileta duniani,kunilea na kunifundisha!Nakupenda mama!

Pia napenda kutambua mchango wa wamama wote wa JF katika maisha yangu na maisha ya jamii kwa ujumla!Mama ni kila kitu
Natambua mchango wako laazizi wangu,pumzi yangu,malkia wangu Bantu lady!Natambua mchango wako sister, miss chagga, mwallu, Munkari, shansarie, Lady doctor, DEMBA, Chocs, lara1, Madame B, Lady niece, miss neddy, farkhina, Mamdenyi, Passion Lady, Valentina, Honey Faith, mimi49, The secretary, Ladymassa, Angelicious, Heaven on Earth, amu, Preety,, Karucee,, Kaunga, measkron, Smile,,Watoto wote wa mkuu watu8!Na wote ambao sijawataja lakini ni wamama/wadada wa JF,natambua mchango wenu,ni kwa sababu natumia mchina!Mungu awabariki wamama/wadada wote wa JF na duniani kwa ujumla!Asante malkia wangu Bantu lady kwa upendo wako!
 
Last edited by a moderator:
Sorry leo ni siku ya WANAWAKE DUNIANI na sio MAMA
siku maalum ya MAMA DUNIANI bado haijafika ikifika
nitakuataarifu ondoa shaka

Wapendwa wana JF,tunapoadhimisha siku ya leo ya wamama duniani,nachukua nafasi hii kukushukuru mama yangu mpendwa kwa kunileta duniani,kunilea na kunifundisha!Nakupenda mama!

Pia napenda kutambua mchango wa wamama wote wa JF katika maisha yangu na maisha ya jamii kwa ujumla!Mama ni kila kitu
Natambua mchango wako laazizi wangu,pumzi yangu,malkia wangu Bantu lady!Natambua mchango wako sister, miss chagga, mwallu, Munkari, shansarie, Lady doctor, DEMBA, Chocs, lara1, Madame B, Lady niece, miss neddy, farkhina, Mamdenyi, Passion Lady, Valentina, Honey Faith, mimi49, The secretary, Ladymassa, Angelicious, Heaven on Earth, amu, Preety,, Karucee,, Kaunga, measkron,,Watoto wote wa mkuu watu8!Na wote ambao sijawataja lakini ni wamama/wadada wa JF,natambua mchango wenu,ni kwa sababu natumia mchina!Mungu awabariki wamama/wadada wote wa JF na duniani kwa ujumla!Asante malkia wangu Bantu lady kwa upendo wako!
 
Sorry leo ni siku ya WANAWAKE DUNIANI na sio MAMA
siku maalum ya MAMA DUNIANI bado haijafika ikifika
nitakuataarifu ondoa shaka

Sorry Lady niece,,ni kwa sababu wanawake wote nawaita mama,ndio maana nimesema na wadada pis!Asante,,nawaomba mods mnibadilishie heading iwe Happy wanawake's day.

Cc. Invisible
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa wana JF,tunapoadhimisha siku ya leo ya wamama/wanawake duniani,nachukua nafasi hii kukushukuru mama yangu mpendwa kwa kunileta duniani,kunilea na kunifundisha!Nakupenda mama!

Pia napenda kutambua mchango wa wamama wote wa JF katika maisha yangu na maisha ya jamii kwa ujumla!Mama ni kila kitu
Natambua mchango wako laazizi wangu,pumzi yangu,malkia wangu Bantu lady!Natambua mchango wako sister, miss chagga, mwallu, Munkari, shansarie, Lady doctor, DEMBA, Chocs, lara1, Madame B, Lady niece, miss neddy, farkhina, Mamdenyi, Passion Lady, Valentina, Honey Faith, mimi49, The secretary, Ladymassa, Angelicious, Heaven on Earth, amu, Preety,, Karucee,, Kaunga, measkron, Smile,,Watoto wote wa mkuu watu8!Na wote ambao sijawataja lakini ni wamama/wadada wa JF,natambua mchango wenu,ni kwa sababu natumia mchina!Mungu awabariki wamama/wadada wote wa JF na duniani kwa ujumla!Asante malkia wangu Bantu lady kwa upendo wako!

Thank you very much sungura1980, God bless you
 
Last edited by a moderator:
Sante kaka sungura1980...ubarikiwe

Happy manawake day to all wanawake na shukrani kwa kina baba kutuoa viunoni mwao na kina mama kulea mimba hadi kuwa mtoto mwenye afya

Shukrani zote ni kwa Muumba aliyetupatia pumzi ya uhai
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom