Happy Looooong Weekend

Partner unajua wengine wamepitia Academy so kila kitu wamefundishwa na wanataka kiende kwa stages na protocal na hapo ndipo wanapobugi meeen! Akakutana na Konny..............!

ahahahhahahhah partner kwahiyo ni mwendo wa procedural movements!
kitu cha kuanza na 1,2,3,4,5,6
wakati konnie anataka mwendo wa 12,maharage,magazeti,kilimo cha pareto,password,lesswig af ndo 37.hiyo mixture si mchezo ujue!oh!
 
Yale bana yamepungua

Ila kumbuka mtalaka hatongozwi.
Hahahahaaa! Najua hiyo, najua ulikuwa umemiss mavitu ya wasela tu...............kayapate kwanza then mzungu atakuja na makadi na maua mengine ya ku apologize
 
M'Jr nafurahi kukuona after a while na nashukuru sana kwa salamu za Kheri; naamini waendelea salama kabisa... Iwe weekend njema na kwako pia. Pamoja Saana.
 
Last edited by a moderator:
ahahahhahahhah partner kwahiyo ni mwendo wa procedural movements!
kitu cha kuanza na 1,2,3,4,5,6
wakati konnie anataka mwendo wa 12,maharage,magazeti,kilimo cha pareto,password,lesswig af ndo 37.hiyo mixture si mchezo ujue!oh!
Si ndio maana wakikutana na waswahili wakiwapigia "Formulaless" wanachizika
 
M'Jr nafurahi kukuona after a while na nashukuru sana kwa salamu za Kheri; naamini waendelea salama kabisa... Iwe weekend njema na kwako pia. Pamoja Saana.
Shukrani sana dada AshaDii, pamoja sana
 
Last edited by a moderator:
Asante M'Jr.............
Na wewe pia.
 
Last edited by a moderator:

Mmmmhhhh...... Nahisi ntasahau hata kushika kalamu aisee! Weekend njema na kwako pia mkuu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mzungu nilimpiga chini, eti ananiletea maua badala ya kunipeleka kwenye kitimoto na bia

Nikaona uzushi, nna ingizo jipya sokoni

Kongosho i am listening very carefully,watch out.
 
Last edited by a moderator:
Mmmmhhhh...... Nahisi ntasahau hata kushika kalamu aisee! Weekend njema na kwako pia mkuu!!!!

Hahaha umeona eeh! Na hivi vijana wa siku hizi mnapenda kula bata wakati wetu si tulikuwa tunakula kuku tu nyumbani halafu tunaenda dansi😀
 
Japo umenisahau haijalishi,
Karibu baharini upate upepo.
 
Japo umenisahau haijalishi,
Karibu baharini upate upepo.

Nisamehe kwa moyo wote, nilipitiwa na kwa heshima na taadhima naomba nikupe heri special kwa weekend hii ndefu
 
Asante kwa hiyo special,
Namimi nakupa mwaliko special kabisa
kwa hii long wikiendi
Karibu M'Jr;

Nisamehe kwa moyo wote, nilipitiwa na kwa heshima na taadhima naomba nikupe heri special kwa weekend hii ndefu
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi njoo tujumuike pamoja, hii weekend sio too much!
 
Asante kwa hiyo special,
Namimi nakupa mwaliko special kabisa
kwa hii long wikiendi
Karibu M'Jr;
Yaani ungejua nilivyokuwa nasubiri mwaliko! Nakuja wanguwangu....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…