Kilinzibar
Senior Member
- Mar 6, 2008
- 124
- 1
kazi nzuri mzee,kweli na wewe uko kwenye maandalizi mana sasa hata mjini foleni zimesha anza pungua watu kujiandaa na sikukuu
Mkuu, siku ya Eid kulikuwa na mabadiliko japo tulichelewa kujiandaa. Kwa wenye kumbukumbu nilishtuka na kuuliza "Eid ni lini" angalia hapa:....kuna angalizo limetolewa ni muhimu kulitekeleza. Kwamba kuepuka ubaguzi ni vizuri na Sikukuu za Eid, JF ibadilishe muonekano kama ilivyokuwa sasa.
Every emblem and symbol in an emblem has a meaning and significance.In your your jamiiForums emblem or whatever you might call it, there is a star and half moon similar to that used by the Islamic faith.Please do not misunderstand me,I sincerely just want to know,what does the star and half moon signify?Does JF belong to moslems or the symbol has another meaning altogether.Please clarify.
Kwa mawazo yangu ninafikiri ni katika kusheherekea sikukuu ya Iddi.
Binafsi nili-assume hivyo na kimsingi nilikuwa very impressed, nilikuwa nasubiri wataweka nembo gani wakti wa x-mas ili niwape kudos kwa job well done kwa kuwa "safi"/fair ktk kutambua sikukuu za dini zote mbili kubwa ktk nchi yetu!!
Hata hivyo hongereni sana (CEO na wenzako), kwa kuonyesha heshima za dini zetu (assuming kwamba nipo sahihi).
Oooh, thanks to Invisible, kuna siku alisema kuwa anataka kufanya kitu akijua sikukuu ya Eid ni lini, duh sikumwelewa na sikutaka kuuliza....nilifunika kombe mwanaharamu apite.
Then nijaiona ile symbol, nikafurahi, nikajiambia kuwa nitamwandikia Invisible kumshukuru kwa recognition. Nikasahau. Samahani Invisible na shukrani sana. Better late than never, thank you again.
Dont worry ni ya Eid .. its made a difference am happy kwamba hamna ubaguzi Jf everyone is represented equally .. so for Christmass something will be done too .. just sit and watch Mods doing their job . Hongereni sana Mods ...
ila you are very slippery .. kwani nasi tungeuliza why kuna injili pale juu tusiongeze Qasda kwani nasi tunazo na twazitaka .. just a little moon gets you started ... eeeeek guy?
Wakuu, kabla ya X-mas huwa kuna sikukuu ya Kiislam. Sijaijua ni tarehe ngapi (hata kwa kukadiria) lakini kuna kitu nilihitaji tukifanye kuanzia sasa. Can anyone gimme a clue?
8th Dec Eid el Hajj
Lakini depending on the sighting of the moon mzee.
MJ
Ahsante, nilichotaka tufanye kinaanza mara moja. Ahsante sana mkuu
Eid Mubarak!
عـــيــد مــبـــارك
Invisible
Nadhani ukiangalia kwenye Navigation bar utaona hii:Mbona music hazionekani tena! Night kali hii nilikuwa nina tabia ya kula songs za dini mpaka morning. Sasa hivi father christmas kama ndiyo inakuja at the expense za zile clicks za musics, better remove. Unless I dont know how to access the nyimbos.
Ni mimi tu au ni vipi?? maana sizioni Zilipendwa, bongo fleva, injili, kama ilivyokuwa mwanzo??
....kuna angalizo limetolewa ni muhimu kulitekeleza. Kwamba kuepuka ubaguzi ni vizuri na Sikukuu za Eid, JF ibadilishe muonekano kama ilivyokuwa sasa.