nawatakieni wana JF wooose pyuu na wa Tanzania wote kwa ujumla kasoro mafisadi na watetea ufisadi heri na fanaka oops i mean nafaka katika kusherehekea kimasi masi
Happy xmas n merry new year!
NB im luvin de changes!yapendeza kwa kweli well done mliohusika!
Nawatakia Heri ya Xmas na mwaka mpya wa 2009..Mungu aibariki JF na wanaJF wote ili wazidi kukaza uzi katika mwaka mpya wa 2009..Keep it up JF...ALUTA CONTINUA
Wote kabisa nawapa masalamu yangu ya mwaka mpya 2009 na Krismasi na kusema mwaka 2008 kwa Heri .Mungu awe nanyi wote na tuzidi kukata issues hapa kwa ukweli na uhakika .
Mbona music hazionekani tena! Night kali hii nilikuwa nina tabia ya kula songs za dini mpaka morning. Sasa hivi father christmas kama ndiyo inakuja at the expense za zile clicks za musics, better remove. Unless I dont know how to access the nyimbos.
Mkuu Invisible, congrats kwa nyuu appearance, inavutia na inaenda na wakati.
I've one suggestion; in second page after index page (e.g. Jukwaa la Siasa, etc.) it would rather be helpful if you add a column that shows date of when thread created. This may help contributors to know "in advance" the age of the thread and pay attention to its history rather than re-event the wheel (wakati mwinge unachangia kumbe member mwingine alishachangia same idea miaka miwili iliyopita kwenye same thread).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.