Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,144
- 7,932
Heri ya siku ya wababa wote wanaowajibika kwa familia zao, hongereni sana Mungu awape uhai na Maarifa zaidiš„°
Waoooo, thanks dear, pokea maua yakoHeri ya siku ya wababa wote wanaowajibika kwa familia zao...hongereni sana Mungu awape uhai na Maarifa zaidiš„°
Asante nimepokeaš„°Waoooo, thanks dear, pokea maua yako
HalelujahIkawe siku yenye kheri kwakošš¤
Shukran madam ššHeri ya siku ya wababa wote wanaowajibika kwa familia zao...hongereni sana Mungu awape uhai na Maarifa zaidiš„°
Amen š¤©š¤©Halelujah
Upande wa kina baba hainaga kuelezea...upande wetu tuna mengi ya kuelezea siku ya mama ..Nategemea nyuzi iwe ndefu,Kina mama wake kutumiminia Salam za pongeZi,lakini mhhh!