Happy Bomberdier Day

Happy Bomberdier Day

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
IMG-20160920-WA0024.jpg
 
UWIZI KAMA KAWAIDA UTAENDELEAAAA UWIZI NDIYO ASILI YAO THITHIEM

OVA
Mwizi akiiba anatimiza yaliyo yake, maana wao ni mababa wa wizi na wizi ndio kazi yao fullstop
 
route za majaribio zinaanza lini? tuombe likizo makazini.
 
Hizi sinema bongo zitaisha lini?Unatolea macho ndege ambayo hutakaa upande. Afu Mradi wa mtu ambao kesho utarudi kwa mwenyewe
 
ha ha walivyokaa humo kama kitu flani amaizing yani very special ha ha ha but it's just a normal thing
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom